SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Yaani wanawake wote wangekua kama wewe ingekua poa sana,sasa ngoja waje ulweso na hajar wamwage mapovu hapa
 
Mkuu huogopi ukimwi hahaha
 
Hahaha!!! Akikiingiza kingi madhabahuni ndoa hahaha!!! Unampiga tu chini au unatafuta mchepuko
 
Moja ya tatizo langu nimwanamke wangu kutofanikisha au kuto maliza kiu yangu au kuto nipa kabisa unyumba kwa kigezo vingi mno
 
Hapo sasa ulizingua ungekuwa unajipigia hadi leo
Nadhani hata yeye alikuwa anawaza kwa nini hajachukua namba kwa sababu nilipomfikisha stendi ya zamani ya Singida nikamuaga akanipa hug tukiwa ndani ya defender kisha akaniambia nafsi yangu imekupenda sana sjui nifanye nini?! Mimi nisura chozi linitoke akashuka akawa bado ananiangalia hikampa bye chuma nikaipa gia lakini njia nzima nilikuwa nawaza tukio lile sijawahi kupata raha ya roho kama siku ile never.
 
Nakumbuka aliniambia kwao alikozaliwa ni Ngudu.
 
Mkuu huogopi ukimwi hahaha
Mkuu ukimwi ni kuchubuana au unakuta mwenzako hajanyoa vizuri ,ila kama unamlowanisha vizuri mbona mswanu tu,kuna watu wengine hupenda kukomoa hapo ndio unauzoa.
 
Moja ya tatizo langu nimwanamke wangu kutofanikisha au kuto maliza kiu yangu au kuto nipa kabisa unyumba kwa kigezo vingi mno
Sasa wewe unategemea aende shamba jalafu akakate kuni apulize moto apike majarage halafu akachote maji halafu nado unataka awe na hamu ya ngono.
Mwanamke amatakiwa aandaliwe kabla ya mambo.
 
Mruhusu aoe huo mchepuko ili msaidiane kumthibiti asitafute michepuko zaidi, vinginevyo hakuna namna
Hata kama ataoa mchepuko atachepuka tu kwa mwingine hata mlambe vipi unamaliza kumlamba anaenda kuchepuka cha kuchosha zaidi huyo mchep ukimwona unaweza kumwonea huruma hawa viumbe hawa shida sana
 
Kinachowasumbua ni ubinafsi, mnapigia hesabu kurithi mali zote za mume
 
Hahahaha umetisha mkuu siku hizi hawana mali atatafuta mali saangapi wakati anawaza tu kuchepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…