Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Hahaha,saizi vipi unapiga piga nje kama kawqNa hata kama ningechukuá huenda golkipa wangu angegundua na kuharibu maana na yeye kwa mkwara wa talaka?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,saizi vipi unapiga piga nje kama kawqNa hata kama ningechukuá huenda golkipa wangu angegundua na kuharibu maana na yeye kwa mkwara wa talaka?!
Yaani wanawake wote wangekua kama wewe ingekua poa sana,sasa ngoja waje ulweso na hajar wamwage mapovu hapaSeriously fact ni kwamba Wanaume walio wengi hawawezi kuwa na mwanamke mmoja wengi wanashindwa kuzizuia tamaa zao za mwili kila waonapo mwanamke anaewavutia machoni pao na ni kitu ambacho mwanamke unatakiwa ukubaliane nacho hata kama hutokipenda na hii ni kwa faida yako binafsi na moyo wako.
Unachotakiwa kujali ni heshima ya mumeo kwako mahitaji muhimu ya familia na vipi anakupa priority kama namba moja wake kama unayapata hayo huna haja ya kuzijuia nyendo zake kama anachepuka au laah.
Mwisho jikite zaidi katika kushirikiana kufanya maendeleo ya kujenga familia yenu na usichoke kumsisitiza mumeo ajilinde kiafya kwa maslahi yenu wote wawili.
Mkuu huogopi ukimwi hahahaNilihisi yule dada alivutiwa na na mimi tu kwani she was so natural n sexy,alikuwa msafi kwelikweli kanyoa fresh mashine imeumuka,,,halafu kila nilipokuwa naongea yeye alijukua anacheka tu,kwa kwelivjapo kilikuwa ni kipindi kifupi lakini aliniambiambia nimemsahaulisha madhila ya safari.
Trust me tulicheza peku peku dakika zote 90+ extra time.
Hapo sasa ulizingua ungekuwa unajipigia hadi leoMkuu nilipagawa baadae nikajuta kwa nini sikuchukua namba.
Hapo sawaSiku jogoo akiacha kuchepuka nami pia naacha
Hahaha!!! Akikiingiza kingi madhabahuni ndoa hahaha!!! Unampiga tu chini au unatafuta mchepukoKwani mpenzi anapotaka ndoa unadhani atakuonesha kero zozote? Atakuwa malaika huyo mpaka utasema nilikuwa wapi siku zote hizo.
Mwanamke akishakuingiza kingi ukakiri madhabauni tu ndio mwisho wa yeye kufanya unayopenda kwa upendo wote, ataanza kukupa ngenya akijiskia yeye, kukupikia vzr akijiskia, kuwakirimu wazazi ndio hadi apende. Mradi kero tu mjengoni
Sasa mkuu hapo umeoa au umeolewa?Moja ya tatizo langu nimwanamke wangu kutofanikisha au kuto maliza kiu yangu au kuto nipa kabisa unyumba kwa kigezo vingi mno
Nadhani hata yeye alikuwa anawaza kwa nini hajachukua namba kwa sababu nilipomfikisha stendi ya zamani ya Singida nikamuaga akanipa hug tukiwa ndani ya defender kisha akaniambia nafsi yangu imekupenda sana sjui nifanye nini?! Mimi nisura chozi linitoke akashuka akawa bado ananiangalia hikampa bye chuma nikaipa gia lakini njia nzima nilikuwa nawaza tukio lile sijawahi kupata raha ya roho kama siku ile never.Hapo sasa ulizingua ungekuwa unajipigia hadi leo
Nakumbuka aliniambia kwao alikozaliwa ni Ngudu.Nadhani hata yeye alikuwa anawaza kwa nini hajachukua namba kwa sababu nilipomfikisha stendi ya zamani ya Singida nikamuaga akanipa hug tukiwa ndani ya defender kisha akaniambia nafsi yangu imekupenda sana sjui nifanye nini?! Mimi nisura chozi linitoke akashuka akawa bado ananiangalia hikampa bye chuma nikaipa gia lakini njia nzima nilikuwa nawaza tukio lile sijawahi kupata raha ya roho kama siku ile never.
Mkuu ukimwi ni kuchubuana au unakuta mwenzako hajanyoa vizuri ,ila kama unamlowanisha vizuri mbona mswanu tu,kuna watu wengine hupenda kukomoa hapo ndio unauzoa.Mkuu huogopi ukimwi hahaha
Sasa wewe unategemea aende shamba jalafu akakate kuni apulize moto apike majarage halafu akachote maji halafu nado unataka awe na hamu ya ngono.Moja ya tatizo langu nimwanamke wangu kutofanikisha au kuto maliza kiu yangu au kuto nipa kabisa unyumba kwa kigezo vingi mno
Hata kama ataoa mchepuko atachepuka tu kwa mwingine hata mlambe vipi unamaliza kumlamba anaenda kuchepuka cha kuchosha zaidi huyo mchep ukimwona unaweza kumwonea huruma hawa viumbe hawa shida sanaMruhusu aoe huo mchepuko ili msaidiane kumthibiti asitafute michepuko zaidi, vinginevyo hakuna namna
Hata kama ataoa mchepuko atachepuka tu kwa mwingine hata mlambe vipi unamaliza kumlamba anaenda kuchepuka cha kuchosha zaidi huyo mchep ukimwona unaweza kumwonea huruma hawa viumbe hawa shida sanaMruhusu aoe huo mchepuko ili msaidiane kumthibiti asitafute michepuko zaidi, vinginevyo hakuna namna
Kinachowasumbua ni ubinafsi, mnapigia hesabu kurithi mali zote za mumeHata kama ataoa mchepuko atachepuka tu kwa mwingine hata mlambe vipi unamaliza kumlamba anaenda kuchepuka cha kuchosha zaidi huyo mchep ukimwona unaweza kumwonea huruma hawa viumbe hawa shida sana
Demis agiza dompo na nyama ya mbuzi nakuja kulipa sasa hivi kuanzia leo nikimwona na kitambaa cheupe halali yangu kumbe!!Nipo mke mwenza nambie
Hahahaha pole sana mkuu anakufanyaje huyo mkeoMm mke wangu ndo ananifanya niwe nachepuka 100%