SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Mruhusu aoe huo mchepuko ili msaidiane kumthibiti asitafute michepuko zaidi, vinginevyo hakuna namna
Akioa unakuta bado anachepuka ndo nataka nijue wanataka nn?
 
That is nature,,,,Mkuu. Kwa hiyo siyo wao bali ni asili yao ndiyo maana. Kuloga ni uamuzi wako tu,,,dawa ziko nyingi sana. Kuna tego pia ingawa hiyo ni hatari sana kwa 7bu inapurura ukoo mzima.
Ahhahaha tego kwahiyo wanaume lazima mchepuke si ndio?
Mnafata nn huko ingali ndani kuna mke
 
Nataka nikuulize ukipewa nn utaacha kuchepuka
Swali gumu, mana unaweza ukapewa vyote unavyotaka na bado ukachepuka, wanawake ni kama maua ndani umeweka uwaridi ukienda nje unaona ua jingine la njano unataka ulinuse usikie linanukiaje.
 
Tatizo wake zetu hamwendani na kasi za waume zenu. Kwanza mnanuna sana, kitu kidogo tuu huongei. Halafu mkishapata watoto hamtaki tena quickies, mfano unamkuta mkeo room, ukitaka kumhug kimahaba utasikia nimechoka au kichwa kinauma. Yale mahaba ya uchumba yote hamyataki kisa eti mie mama sasa sio msichana. Mimi kwa kweli nipe dudu at least twice a day for 5 days a week. Sasa nyie hamturidhishi jipangeni upya
 
Ahhahaha tego kwahiyo wanaume lazima mchepuke si ndio?
Mnafata nn huko ingali ndani kuna mke
Ni asili tu hiyo,,,,hakuna jipya huko. Kwa sababu kila kitu kipo ndani ya fikra (mentality) za mwanaume mwenywe. It's just feeling. Hata anachohisi (ladha) mwanaume wakati wa tendo lenyewe kipo ndani ya akili ya mwanaume.

Kwa hiyo, ni mwanaume mwenyewe akiamua kubaki njia kuu inawezekana kabisa kwani ni ku badili fikra zake tu kuwa hakuna jipya huko. Hivyo hivyo, akiendelea kufikiria/kuwaza kwamba akienda huko anapata kizuri zaidi basi hawezi acha daima.
 
Kuacha haiwezekani. Iko kwenye damu. Najua watakuja baadhi ya wanaume kubisha hapa. Cha msingi ni kuchiti mkeo/ mpenzio asijue.
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Asante. Wewe ni genius.
 
Mh wewe
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
unafikiria kuchepuka ni hela......hela inaongeza hamasa tuu.....ni kijitabia kilichokomaa kwa wanaume....mtusamehe tu jamani ndoa idumu....huwa hatupendi kabisa.......ila huyu athumani kichwa wazi.....akiamua yake....unakesha na mkeo,,,,ila ukiamka asubuhi unapitia mchepuko kwanza ndio waenda job......
 
He he!!!!
 
Hii elimu ni ya kilingeni kutoka kwa Mr superspot au??
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Aah wapi, mnataka tuingie kingi baadaye mtuvizie na maji ya moto
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Sawa sawa..
 
Kifupi wanaume huwa hawaridhiki?
 
Jela tu kama ikiwezekana kumpa mume wako,,,

Kama huwezi jela basi acha tuendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…