SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Sasa hivi nikiona kitambaa kipya akimaliza kufuta tu naidaka na kwenda kuloweka mwenyewe kwenye beseni na kuifua.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mburaaaaaaaaaah nimecheka kifaaaaaalaaaa
 
Tunda alilolishwa Adam Na Hawa tukipata tu basi tunaacha
 
Ww una sura mwenzio ana umbo
Ww una hips mwenzio ana tako
Ww una sura mwezio ana jicho
Ww una kiuno laini mwenzio ana mgongo wa masage
Ww unagulia kimya kimya mwenzio fulu yowe
Ww gogo mwezio uno mipaka chongo
Ww mbabe mwenzio ana care

By the way sharing is caring
 
siwezi kuruhusu mwanamke anikamue sperms zangu eti ajifanye ananisafisha. Wanawake wa siku hizi tabu sana.
Namaliza mambo yangu mwenyewe najisafisha mwenyewe
 
uwezo wenu wa kumtosheleza mume hasa baada ya kuzaa huenda ukipungua mwaka hadi mwaka
 


Mwanamme hata awe na wanawake 100 hatoacha kuchepuka kamwe....sie ni sawa na jogoo tunachapa huku na huku kusambaza mbegu za taifa la kesho. Jamani msijiumize mioyo kutujadili kwani hamuwezi ishi bila sie, mtuache tu tutekeleze wajibu wetu....mjiulize, bila sie kuwaonja ubikra utawatokaje?
 
Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Aisee kweli, ni ngumu sana ku maintain ukiwa una dolari mfukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…