Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.Mama wewe timiza wajibu wako tu ila huwezi kuzuia hawa viumbe kuchepuka maana wao wanapenda kwa kuona hivyo akiona tofauti na alicho nacho ataingiwa na tamaa ya kuchepuka tu. Na ukiona Mwanaume hachepuki ujue hana hela
Ndugu yangu usiusemee moyo. Hawakaniwi hawa viumbe. Usiseme mumeo hacheat sema hujawahi kumkamata.Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.
Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.
Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
Tupewe ruksa ya kuoa wake kadri ya nguvu zetu na matamanio yetu..!Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa cheupe ambacho hakijatumika mkimaliza sex na mpenzi wako unamfuta nacho kwenye dushelele unachukua zile shaha.wa alafu unakifunga na kukikaza unakificha sehemu salama akienda kuchepuka akifika huko haisimami kabisa inakuwa inasimama kwako tu mwanamke uliyemfunga.
Sku ukikifungua ndo pona yakee shida ukifa hujafungua ujue na mmeo anakuwa amekufa chini mazima.
Mrs Jr.
Exactly kuna mbaba sku tulivyojua anacheat kila mtu alibak mdomo waziii
Kuna wanawake wanasema mme wangu hacheat lakin tunakutana nao sehem za starehe wana wadada 3someMwenyewe kuna ex wangu asingeniambia mwenyewe alicheat ningeambiwa na mtu mwingine ningemchukia huyo mtu kwa kusema uongo maana nilikua namuamini mpaka tulivyoachana siku tunaoiga story ananiambia baby mama wake alikua nae kabla yangu na mimi sikuwahi kuhisi japo kidogo kama bby anakula nje
Sio kweli mzigua mwenzangu ukiona mwanaume hachepuki jua ana hofu ya Mungu basi.
Mm wangu hajawahi kuchepuka nawala hana time na wanawake kabisaaa yuko bize na kazi zake na kufanya ibada.
Mdele nagamba vino wagosi WAAMINIFU WAPO
Labda mtupe tigoNataka nikuulize ukipewa nn utaacha kuchepuka
Labda mtupe tigo
Hakika wewe umenena maana sisi twajua maana kutwa tunatongozwa mpaka na mapadri na kuahidi kutuhonga madorali ili tuwape tendo la ndoaKweli wajinga ndiyo waliwao....kuna makasisi,mapadri ,wainjilisti,mashehe nk nao wanapatwa na kashfa za ngono kila kukicha,huyo wako ni nani ayakwepe haya mambo?....
ALAFU IYO KITU NIMESHASIKIA TENA EX-WANGU NDO ALINAMBIA HUO MCHEZO UPO NA NASIKIA NI PEMBE YA KITAMBA SIJUI. nilimwambia jaribu uwone alafu siku ukisahao naku tia kwa masaa 48 non-stop huko ni kutesana.Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.