The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Peace be with you all,
Nianze na ka kisa fulani kalitokea majuzi. Nilikua restaurant fulani hapa A town ghafla nikanuona mwanamke mmoja mrembo sana na alikua nadhifu sana. (Navutiwa na wanawake nadhifu)
Alikua amekaa jirani wanawake wengine kama watatu wanapiga story zao, alinivutia sana lakini Yuko pamoja na wanawake wengine nilipomaliza kula nikaona Wacha nimalize huu upuuzi nikasogea pale walipokua nikawasalimia na wote wakaitikia kwa uchangamfu mkubwa pamoja na yeye.
Kisha nikamsogelea yeye nikamuuliza jina lake alinijibu huku ananishangaa nikamuomba namba yake haraka akaniambia "siwezi kukupa namba yangu"
Basi nikakamwambia nimefurahi japo kumfahanu jina nikaondoka zangu. Nilikofika nje nikawa nasuburi boda nikashangaa mmoja wa wahudum ananifuata nikadhani labda malipo hayakua sahihi maana nililipa kwa lipa namba.
Akanifikia na kunipa kikaratasi akaniambia amepewa aniletee kukifungua kimeandikwa "Mimi Minah namba yangu ya simu ni 075xxxxxxxxxxx whatsap na calls" ebo !!
Fresh, Leo nimemchek kanichangamkia sana tu story fupi fupi akawa ananilaumu kwanini sikumcheck hapa na pale nikatest kumpanga kutoka nae weekend ajabu katoa ushirikiano wa kutosha kabisa.
Sasa najiuliza kwanini pale ndani alinijibu mbovu na kuninyima namba lakini anaonyesha ushirikiano wa kutosha kana kwamba alinielewa tangu siku ile.
Mwaka fulani nyuma nilishakutana na kademu kasupa sana kalikua na wenzake nikawasalimia fresh nikakaomba namba kakanipa siku zikapita tukawa na mahusiano siku Moja baada ya mechi tukiwa half time kwenye mazungumzo ya kuvutia Kasi round ya pili kakawa kananilaumu kwanini nilikaomba namba mbele ya wenzake, ebo !!
Nikakajibu hapakua na.njia nyingine kakaniambia Mimi ni mtu wa ajabu. Nilibaki na maswali na huyu wa juzi kanishangaza kwamba alikua hataki nimuombe namba lakini anaonyesha ushirikiano wa kutosha kabisa kuelekea machinjioni ?!!
SWALI: Wanawake hua nnajisikiaje mwanaume akikuonba namba mbele za watu. Hua inawakera au vipi ??! Je mnashauri tutumie mbinu gani kupata namba