The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,360
- 6,922
Waje watufahamishe niaje wanakereka tukiwaomba namba lakini badae wanatoa ushirikiano wa kutosha tu.Wanawake mnaitwa huku
Nitag na ID yako ya zamani kwanza 🤣😅Binti wa zamani
Nasaha zako huku tafadhali
😂😂😂😂😂Nitag na ID yako ya zamani kwanza 🤣😅
HahahaNitag na ID yako ya zamani kwanza 🤣😅
ukichangamkiwa changamka au ndio wale wanaotoa mpaka kumbukumbu za matukio ya hovyo hadharani maana kuna watu midomo yao haina breki na hawana aibu.Natoka nje kidogo ya mada,
Bora hiyo ya no, kuna hii ya kuchangamkiwa holela kisa tyuuh mnafahamiana huko nyuma.
Bas utaona anaanza kuongea kuhusu ya zamani afu mbele ya kadamnasi, sipendio hii tabia kwa kweli.
Hii hata Mimi hua sipendi. Back to the topics mezani, je unakereka kuonbwa namba mbele ya rafiki zako ?!!Natoka nje kidogo ya mada,
Bora hiyo ya no, kuna hii ya kuchangamkiwa holela kisa tyuuh mnafahamiana huko nyuma.
Bas utaona anaanza kuongea kuhusu ya zamani afu mbele ya kadamnasi, sipendio hii tabia kwa kweli.
Ndo hao ninao wasemea, jitu linaropoka mambo ya zamani ambayo haifai watu kuyajua, Lolukichangamkiwa changamka au ndio wale wanaotoa mpaka kumbukumbu za matukio ya hovyo hadharani maana kuna watu midomo yao haina breki na hawana aibu.
NdiyoooHii hata Mimi hua sipendi. Back to the topics mezani, je unakereka kuonbwa namba mbele ya rafiki zako ?!!
Ok sawa, sasa kama ndivyo unashaurije vijana kupata kufahamuana na nyie na kubwa na mawasiliano pasipo kupata namba.Ndiyooo
Je wewe ujasiri wa kumuomba mwanamke namba akiwa na rafiki zake unao ?!Sina jibu mm sio ke so nasoma coment
Nadhani inategemea na aina ya contents anazokumbushia.ukichangamkiwa changamka au ndio wale wanaotoa mpaka kumbukumbu za matukio ya hovyo hadharani maana kuna watu midomo yao haina breki na hawana aibu.
Na watu wa hivyo wapo sana mkuu, cv yote inachafukaNadhani inategemea na aina ya contents anazokumbushia.
Assume umekaa na mtu mnayeheshimiana halafu anatokea mtu ghafla"aisee vipi,za masiku,aisee nimekumbuka mbali sana wewe mtu ulikuwa noma sana,kuna siku nakumbuka ulijikojolea darasani halafu mwalimu akawa anakupiga bakora mbele ya wanafunzi wote au kuna siku moja uliiba bakuli la nyama ukakimbia nalo na kwenda kujificha chooni"
Hapa CV yote inaharibika
Ni kero sanaNdo hao ninao wasemea, jitu linaropoka mambo ya zamani ambayo haifai watu kuyajua, Lol