[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee umenizid vip tukuongeze na Fast jet kwa ajili ya wa mwaka mpya 2019Kwangu mimi nitachukua Airbus ile iliyokuja juzi, Dreamliner na Bombardier 3.
Kifupi nitaomba ndege zote za ATCL ili niwabebe.
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Hapana ila kuna watakaobaki nitawaweka kwenye mabasi manne ya Dar Lux[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weee umenizid vip tukuongeze na Fast jet kwa ajili ya wa mwaka mpya 2019
Kifupi ni wengi kuna siku niliwaandika kwenye Notebook walifika 367 niliokuwa nakumbuka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwapanga foleni je?wanaanzia wapi mpaka wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja tukupe bajaji
Uliowasahau unakumbk mlipokutana au napo umeshasahau[emoji23][emoji23][emoji23]