Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa tena ukiwa mkweli unaongeza nafasi ya kupata kibarua sehemu nyingine maana utakuwa na uzoefu wa kutosha.Bora umekuwa mkweli wengine hawasemi kujifanya watakatifuu mfyuuu mm sinaga hizooo kama nilishapitia mbn kawaida tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]fwalaaaa kweli wewe
Kile kimountain ambacho hakina kiti nyumaBaskeli inapakia watu 3 ujue
Ewaaaaaah kunywaaa soda barid
Baadae jioni nitafute nikupe nyama.Konyag usisahau baadae tukatafute mbuzi chomaa maana konyag kwa ukali huoo hatar
ndo ukweli huo, halafu nataka nibook space kwako ila nasubiria sikukuu ipite kwanza tujaze vzr hilo boda boda[emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]thubutuu
Jinsi ulivyo kuwa bado motoMaini gani?