SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

ndo ukweli huo, halafu nataka nibook space kwako ila nasubiria sikukuu ipite kwanza tujaze vzr hilo boda boda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muongo wewe
 
Kiufupi mm nikisema niwatafutie usafiri max zangu nahisi nafaaa kukodi bus zotee za ABOOD BUS SERVICE za kutoka Dar -Moroo ndo watatoshaa.


Nyongeza :

Wenye mapovu na msiojua yani Demiss ni kama Gigy money sijuagi kusema uongo mtanisamehe jamani walokolee wa Jf sawaaa eeeh.


Demiss (Single girl)
Location: Family bar Tegeta kibaoni.
Wifi umekua upepo ama kitu gani??
Juzi ulikua Dar Jana Mapinga sijui Mafinga leo tena Tegeta
 
mpaka sasa ukijumlisha na mke wangu huyu ni Dar lux youtong bus 3 zinajaa full seat
 
Wangu sijui kama nitawakuta, maana unaleta mmoja unamuingiza kwenye noah, unafuata mwingine, ukirudi unakuta yule wa mwanzo kachukuliwa maana ni x wa mtu mwingine pia. Ah boda tu itatosha kumbeba mmoja nitakaye mpata wa kwanza
 
Back
Top Bottom