SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Wangu sijui kama nitawakuta, maana unaleta mmoja unamuingiza kwenye noah, unafuata mwingine, ukirudi unakuta yule wa mwanzo kachukuliwa maana ni x wa mtu mwingine pia. Ah boda tu itatosha kumbeba mmoja nitakaye mpata wa kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka machozi yametiririka
 
Tatizo nyie mtu akijisema umalaya ndio mnaona yuko real, kusema nywele ameagiza mara amenunua hapahapa ndio kuwa real?
Gift anakuaga na uchizi. Anasemaga ye anaongeaga watu wanachotaka kukisikia hata kama ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo nyie mtu akijisema umalaya ndio mnaona yuko real, kusema nywele ameagiza mara amenunua hapahapa ndio kuwa real?
Sizungumzii suala la kuvaa nazungumzia suala la mapenzi na kuongea mambo aliyopitia hajui kuficha ukweli hasa kama mambo ya mapenzii kapitia wapi na kafanya nn ndo amejipangia labda utakuwa umeelewa tofaut na ninachomaanisha
 
Kuna mmoja yuko njiani kwa ajili ya skukuu akifika ndio nitatoa idadi ya usafiri utakao hitajika.......
 
Hivi mtu wa one night stand
Unamkumbukaje!?
Hahahahha mwingine umedumu naye miez hata 6 tu unamsahau hao wa night stand[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom