Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Demiss nyuzi gani sasa hivi ila kumbuka wengine sio Ex bana
Hili swali linafaa mtu anaulizwa halaf kafungwa kile kifaa cha kinaonyesha unasema ukweli au uongo
Walete na kifaa wakikufunga ukiulizwa swali kianze kuhesabu chenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]