SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Du nafkiri Scania ya dar express na wengine watakosa seat ila at least bila tera
 
Hivi umeanza kutumia vilevi lini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kilevi kimoja kinaitwa Methanol huwa nabusti kidogo kabla sijaanza kuhudumia watanzania maana bila kuwa mchangamfu na jasiri kazi haiendi...
 
Hahahaha na kweli kwa hizo mishee zenu lazima mbust[emoji23][emoji23][emoji23]na vidonge vya valium
 
Back
Top Bottom