SWALI: Wapenzi (X) ulioachana nao wanajaa kwenye gari gani?

Kama mpaka mausigeli tunahesabia ni ma x basi naomba niwe mkweli na Xmas hii nadhani ni zaidi ya 1500...
 
Kuna familia nimekula mama na watoto wake wawili bila wao kujijua hpo tayari nimejaza boda boda niishie hpo
Mkuu hii imekaaj?

Nataman utupe full story kwan nahic itafny siku iwe nzur saan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…