Wenye ndoa zao na ambao wapo wapo kwanza ni kundi gani linaongoza kucheat kwenye mapenzi?
wenye ndoa nomaa!Wenye ndoa zao na ambao wapo wapo kwanza ni kundi gani linaongoza kucheat kwenye mapenzi?
kuna waliooana na wako wanaoishi kinyumba. Nalog offKama huna ndoa unawezaje ku-cheat?
Fanya hivyo Mkuu.Na log offteh teh nimependa '' na log off,nitaiweka signature
sasa hivi mkuu.Na log offSasa unalog off saa ngapi mkuu
yaani hata mi niliona ni wenye ndoa,mana kila siku unaweza kusikia amefumaniwa mtu flani,but kwa ambao hawajaoana kufumaniwa halina uzito
Hapo sasa_sijui unamcheat nani?Kama huna ndoa unawezaje ku-cheat?
na kwa chini wanafuata wale wanaoishi kinyumba.Wenye ndoa wako juu dah!