Swali yenye utata.

Swali yenye utata.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wenye ndoa zao na ambao wapo wapo kwanza ni kundi gani linaongoza kucheat kwenye mapenzi?
 
Wenye ndoa
yaani hata mi niliona ni wenye ndoa,mana kila siku unaweza kusikia amefumaniwa mtu flani,but kwa ambao hawajaoana kufumaniwa halina uzito
 
yaani hata mi niliona ni wenye ndoa,mana kila siku unaweza kusikia amefumaniwa mtu flani,but kwa ambao hawajaoana kufumaniwa halina uzito

kwanza mtu hawezi kuwa na ujasiri wakumfumania mpenzi ambaye si mke/mume wake,ataanzaje
 
Back
Top Bottom