Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7 tofauti..
Ndipo sasa Gwajima anaulliza serikalini ya Samia imefungia imanii ya waumini hao ama imefungia Kanisa lao?