Hongera mchungaji kwa kumsaidia mwenzi wako, sasa hapo thawabu sijui unapata au unasindikiza!Kuasidiana kwenye mapenzi ni muhimu sana! Mzenji amefunga hakipikiki kitu imenibidi nifunge
Kuasidiana kwenye mapenzi ni muhimu sana! Mzenji amefunga hakipikiki kitu imenibidi nifunge
Hongera mchungaji kwa kumsaidia mwenzi wako, sasa hapo thawabu sijui unapata au unasindikiza!
<br />Hii uliza kwa PM hapa utaharibu swaum yangu
Aisee, haya hongera jikaze bado siku chache tu utamalizaKuna Muhadhara Mmoja nilikwenda huku mashambani wanasema mashekhe kila afungaye basi thawabu zinamwagikia kama mvua za masika! Ni moja ya nguzo za deen ya mtume
Hapo ndo penyewe! Nitaongeza na zile 6 inshallah
Ah Swahiba,
Nakuonea wivu ati, mie kobe mwezi mzima, hang-over haziishi ila pesa ndio zinaisha
Lazma utakua fit sana baada ya mfungo....
Karibu Brake Point