The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Kuna sehemu nzuri ya kufanya biashara maeneo ya Rumbek, Yambio na Tonj ukija nitakujuza zaidiNitakutafuta jioni niko mitaa ya karibu na hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu nzuri ya kufanya biashara maeneo ya Rumbek, Yambio na Tonj ukija nitakujuza zaidiNitakutafuta jioni niko mitaa ya karibu na hapo
Mbona kama wachanganya mambo weye?Yaani denda? Ustaadhi nimefunga mwenzio
Kuna sehemu nzuri ya kufanya biashara maeneo ya Rumbek, Yambio na Tonj ukija nitakujuza zaidi
Rev, Huo wako ni uvivu! Hivi huwezi kupika mwenyewe hadi apike la aziz?Kuasidiana kwenye mapenzi ni muhimu sana! Mzenji amefunga hakipikiki kitu imenibidi nifunge
Rev, Huo wako ni uvivu! Hivi huwezi kupika mwenyewe hadi apike la aziz?
Ningekuwa mimi ninamwambia akalale mimi niko jikoni ninatayarisha mlo.
Na wakati wa futari mimi utadhani ndio nilofunga sana kuliko la aziz!