Swaumu yanitesa!

Lol....
Hongera baba mchungaji.. Umeonyesha upendo wa dhati kwa laaziz... Mapenzi ni kusaidiana kwenye shida na raha..
 
Mchungaji niko huku South Sudan nasimamia ujenzi wa lile kanisa ukimaliza mfungo wewe njoo huku
 
Lol....
Hongera baba mchungaji.. Umeonyesha upendo wa dhati kwa laaziz... Mapenzi ni kusaidiana kwenye shida na raha..

Yani mchungaji ana demu?!au kaoa?na mbona mkewe bado ni muislamu?huyu si mchungaji halisi atakua mchunga mbuzi.
 
Hahahahahaahh MTM mara ya mwisho alisikika Benghazi!

Nitatia timu yale mambo yetu yapo?
Yale mambo yetu yapo Mchungaji tena baada ya kutua uwanja wa ndege ukifika tu hotelini mambo mswano, MTM namtafutia permanent viza ya huku ili awe anafanya biashara ya kuleta John Mtembezi
 
Hata mie nafunga mchungaji niko Southern Sudan........................karibu pia huku
 

Mpwa kazia swaumu na mate
 
<br />
<br />
inakutesaje????
 
Hahaha!!! Dena niliona mtu kama wewe pale kwenye ikulu ya Salva Kir aisee unaajenda gani kule unataka kufanya biashara ya mafuta nini

Unajua ODM alinambia uko huku nikajua ananipiga changa la macho nikadharau ngoja niku PM tukutane aisee dah!!!!
 
Sawa baba mchungaji,kwa nini usimwite sheikh mkamaliza kabisa nawe uingie huko kwa bibie?Maana nahisi uzalendo huwa unakushinda mida fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…