Swaumu yanitesa!

Kuna sehemu nzuri ya kufanya biashara maeneo ya Rumbek, Yambio na Tonj ukija nitakujuza zaidi

Poa kha mtoto mjanja wewe hadi Rumbek ushapajua kweli wewe kiboko niliwahi kwenda siku moja haya baadae basi
 
Unamsaidia unajua maana halisi ya kufunga lakini?sio kukaa kuomba siku za kufunga ziiishe.kufunga ni kuitesa nafsi kwa ajili ya kuufanya mwili uwemdhoofu ili uweze kuomba vizuri na sio kufunga kufuata mkumbo kama wewe hujapanga kufunga usijitese kushinda njaa wakati hausali.
 
Kuasidiana kwenye mapenzi ni muhimu sana! Mzenji amefunga hakipikiki kitu imenibidi nifunge
Rev, Huo wako ni uvivu! Hivi huwezi kupika mwenyewe hadi apike la aziz?
Ningekuwa mimi ninamwambia akalale mimi niko jikoni ninatayarisha mlo.
Na wakati wa futari mimi utadhani ndio nilofunga sana kuliko la aziz!
 
Rev, Huo wako ni uvivu! Hivi huwezi kupika mwenyewe hadi apike la aziz?
Ningekuwa mimi ninamwambia akalale mimi niko jikoni ninatayarisha mlo.
Na wakati wa futari mimi utadhani ndio nilofunga sana kuliko la aziz!

Yaani Mkuu umeninyang'anya cha kusema... lol
Pale ulipopawekea red kwa post ya Mh, Rev Masa, ndio kitu kilichonifanya nisimpongeze!
Kwa kulazimishwa kwake huku na hali ya "saumu ya kutengenezewa" nashaka sana kama hamsumbui "laazizi wake" usiku!
Ila kwa heshima ya mchungaji, hongera zake kwa mapenzi yake makali kwa "laazizi" hadi kwenye mwezi huu wa haki!!
 
Hongera kwa moyo huo. Na yeye akusaidie kwa rezma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…