Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo.
Sweden imesema uamuzi huu unatokana na mabadiliko ya vipaumbele vya sera za kimataifa, na changamoto mpya za kiusalama nchini Tanzania (new security challenges). Hata hivyo Sweden imesema uamuzi huu wa kusitisha uhusiano wake na Tanzania hauhusiani na matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini Tanzania.!