Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

View attachment 3511609
Hotuba ya Rais, kokote duniani, hulenga kutuliza nchi, kuhimiza amani na umoja, na kutoa mwelekeo wa maendeleo kwa wananchi, hususan vijana. Kwa hiyo, badala ya kuichukulia kama tishio, vijana wanapaswa kuiona kama mwongozo wa kutenda kwa busara, kuchukua tahadhari, na kuzingatia sheria ili kujenga taifa lenye utulivu na matumaini kwa wote.
#tanzania #vijana #youth #politics #siasa #amani #africa
Haya ni ma uvccm mengi yao ni matoto ya viongozi, ukilicheki unalikuta limevimba mashavu kwa pesa za ufisadi.
 
Mimbulung'weng'we inaruka hii komenti
Ndio mifyongo iliozoea kila siku kuna mzungu atawasaidia kwa kuwa wagalatia wenzao, hata vwakiambiwa watoe marinda wanaukalia bila shida
Haya sasa beberu kachoka kusaidia nyani hata kama ni wagalatia, nyani ni nyani tu, hawawezi kulingana na wazungu wenzao wa Ukraine
 
Jamuhuri ya Kopa kopa: Tunakopesheka

1764987892018.png
 
Hata Magufuli hakufikia level hii
Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo.

Sweden imesema uamuzi huu unatokana na mabadiliko ya vipaumbele vya sera za kimataifa, na changamoto mpya za kiusalama nchini Tanzania (new security challenges). Hata hivyo Sweden imesema uamuzi huu wa kusitisha uhusiano wake na Tanzania hauhusiani na matukio ya hivi karibuni yaliyotokea nchini Tanzania.!

Mbali sana

Mbali sana , itakiwa kufika january
 
Ile kauli ni sawa na mtu akupe msaada leo, halafu kesho umtolee maneno ya dharau mbele za watu. Inaumiza sana.
Au ni sawa na wewe mwanaume kumlipia msichana ada ya elimu ya juu kwa miaka mitatu, halafu siku ya graduation anakukana kabisa kuwa hakujui na wala usimzoee..

....aisee inauma sana
 
Back
Top Bottom