wao ama wewe?Watanyooka tu hawa watu.
Hotuba ya Rais, kokote duniani, hulenga kutuliza nchi, kuhimiza amani na umoja, na kutoa mwelekeo wa maendeleo kwa wananchi, hususan vijana. Kwa hiyo, badala ya kuichukulia kama tishio, vijana wanapaswa kuiona kama mwongozo wa kutenda kwa busara, kuchukua tahadhari, na kuzingatia sheria ili kujenga taifa lenye utulivu na matumaini kwa wote.
#tanzania #vijana #youth #politics #siasa #amani #africa
Usiwe mpumbavu kiasi hikiView attachment 3511609
Hotuba ya Rais, kokote duniani, hulenga kutuliza nchi, kuhimiza amani na umoja, na kutoa mwelekeo wa maendeleo kwa wananchi, hususan vijana. Kwa hiyo, badala ya kuichukulia kama tishio, vijana wanapaswa kuiona kama mwongozo wa kutenda kwa busara, kuchukua tahadhari, na kuzingatia sheria ili kujenga taifa lenye utulivu na matumaini kwa wote.
#tanzania #vijana #youth #politics #siasa #amani #africa
VyaDezoMnahamiaAsia.wao ama wewe?
vya bure vinauaVyaDezoMnahamiaAsia.
Ile kauli ni sawa na mtu akupe msaada leo, halafu kesho umtolee maneno ya dharau mbele za watu. Inaumiza sana.who are you wanaendelea kujibuππππ
who are you wanaendelea kujibuππππ