Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

Who the f*ck and are you?

 

Sweden yasitisha misaada kwa Tanzania, Zimbabwe na nchi 3 zingine - balozi zimefungwa​

Iliyochapishwa:Ijumaa 5 Des 2025 13:03 CET

Picha: Christine Olsson/TT


Serikali inasitisha msaada kwa Bolivia, Liberia, Zimbabwe, Tanzania na Msumbiji. Wakati huo huo, balozi katika nchi tatu zinafungwa. Kazi yetu ni kufanya maamuzi magumu, anasema Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo Benjamin Dousa (M) katika mkutano na waandishi wa habari.

Balozi za Uswidi nchini Bolivia, Liberia na Zimbabwe zitafungwa. Kufungwa kunatarajiwa kukamilika mwaka 2026, alitangaza Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Biashara ya Nje Benjamin Dousa katika mkutano na waandishi wa habari.

Msaada kwa nchi hizo tatu utasitishwa ifikapo Agosti 31 mwaka ujao. Aidha, misaada kwa Tanzania na Msumbiji itasitishwa katika kipindi hicho.

Dousa anaielezea kama badiliko kubwa la misaada "kuwahi kutokea katika historia ya Uswidi".

Kwa muda mrefu sana, misaada ya Uswidi imetawanyika sana, imekuwa kisambaza maji, anasema.

Harare, Zimbabwe

Takriban Wasweden 30 wanaishi nchini Zimbabwe huku Ubalozi huo umeajiri watu 22, wanane kati yao wameachishwa kazi na 14 ni wafanyakazi wa ndani.

Chanzo: Ofisi za Serikali
 
Huyu mama mpaka ajinyongee pale jumba jeupe, ndio wanamjibu lile swali lake lake la kijinga
 
Ohoo...
Kmmkee...
 
Huko 26/8 mbali sana,.leo leo

WHO ARE YOU
 
Utuambie wakitoa wao wanapata nini? Maana hakuna bure iliyo bure kabisa
 
Sijui tunakwama wapi kujitegemea, hela za bure hizi zina tabu.
 
Hii ndio habari iliyotolewa rasmi na ubalozi wa Sweden nchini Tanzania. Kwa wale wenzangu na Mimi wa zamani kidogo tunatambua msaada mkubwa sana wa kimaendeleo kutoka Sweden kupitia shirika lao la sida pamoja na grants, fursa za kielimu, mazingira na mikopo nafuu iliyosaidia sana nchi hii. Tuangalie tulipojikwaa tujirekebishe wahenga walisema kiburi si maungwana.
 
Tutaelewana tu
 
Kwani nani aliwatuma kuiba kura na kuonea watanganyika wasio na hatia, Hatumtaki Samia, huyo si rais wetu, ni rais fake.......Hakushinda na hawezi kushinda. Hamna nchi inayofaidika na hayo mambo mnayoyasema. Tanzania ina kitu gani? Nchi tangu imepata uhuru hadi leo haijiweza, fukara, taabani, hata kujenga vyoo na kulisha watu wake haiwezi. Acheni propaganda za CCM. Ebu ninyi mbwa wekeni uchaguzi wa haki, tuone hata kama mtapata asilimia 20 ya kura zote. STUPID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…