Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

Angalizo tu wengi wanaozichoma hizo quruan, ni raia wenye asili ya uarabu, waliozikimbia nchi zao kuepuka mateso, kufungwa! Hiki wanachofanya ni retaliation against dector regimes in Arabs countries.
 
Acha vitisho wewe.

Hakuna vimbunga wala nini,

Maisha yanaendelea.

Kitabu kuchanwa haihusiani kivyovyote vile na kuja kwa vimbunga ama tetemeko.

Hyo ni imani potofu.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu Quran ilichomwa Sweden mbele ya Ubalozi wa Uturuki. Waturuki na waislam duniani waliandamana kwenye nchi zao kulaani sana.

Mwezi mmoja mbele (6 Feb 2023) Uturuki ikakumbwa na Tetemeko lililoharibu miundombinu mingi na kuua watu zaidi ya 59,000... Wakati huo Sweden(iliyochoma quran) wala haikukumbwa na chochote mpaka leo.

Sipati picha Sweden ndio ingekumbwa na tetemeko, mngekuja na propaganda nyingi sana za "Alah amewaadhibu".. ila sasa janga likawakumba nyie wenyewe.

Hili tukio lilinifanya niamini kuwa haya maneno yenu ya kulaani watu ni dua la kuku tu.
 
Waislsam wanavyopenda ligi kesho watanunnua zingine elf kumi na kulinunua eneo hilo kuwaproof wrong wazungu
na hapo ilipochomwa patajengwa msikiti tena?. Wanaochoma ni waumini wa kitabu hicho haina shida wanajichumia dhambi zao
 
unajua athari ya kuchoma kitabu hicho duniani? Ni sawa na kuteketeza imani hiyo. Kama ni ya Mungu itaishi milele na kama ni abrakadabra tu itatoweka duniani. Watu wataona ni upuuzi kuamini kitabu kinachochomwa moto hovyohovyo wala wachomaji hawadhuriki kwa kuchoma kitabu cha allah
 
Denmark ni sawa na swedeni, ongeza norway na finland, pata picha huko nako hao wahamiaji waanze kuchoma qur an, scandinavia yote hicho kitabu kitakuwa kimekataliwa. Ila hao wahamiaji ni wakorofi wanaenda kwenye nchi za watu na kuonesha chuki zao kwa kitabu kilichowakuza na kuwalea kiimani wanakiasi na kukisaliti
 
Umesema ukweli Mkorintho
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…