Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

Angalizo tu wengi wanaozichoma hizo quruan, ni raia wenye asili ya uarabu, waliozikimbia nchi zao kuepuka mateso, kufungwa! Hiki wanachofanya ni retaliation against dector regimes in Arabs countries.
 
Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. 😭 😭

Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.

Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.

NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.

Wallau Allam🙏🙏🙏🙏
Acha vitisho wewe.

Hakuna vimbunga wala nini,

Maisha yanaendelea.

Kitabu kuchanwa haihusiani kivyovyote vile na kuja kwa vimbunga ama tetemeko.

Hyo ni imani potofu.
 
Mimi si Mkamilifu sana ila nasema toka ya Moyoni hao Wasweeden watapata Majanga ya asili mpk wachakae ni suala la muda tuh.
Kudhihaki dini/Imani ya mtu ni jambo baya sana aisee. [emoji24] [emoji24]

Tena nahisi hilo Kasri litapigwa tetemeko/Kimbunga and the likes lote litabomoka na kutatokea vifo vingi sana vya wananchi na maelfu ya wananchi watapoteza sehemu za makazi.

Siyo jambo zuri kukashifu/kudhalilisha dini/iman ya mtu.

NOTE: Mod Hii comment msiifute hakika itatupa ushahidi huko mbeleni ni Nini Mungu alifanya kwa Sweeden baada ya Maovu yao ya kudhihaki dini ya Uislam kwa kuchana vitabu vyao.

Wallau Allam[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mwanzoni mwa mwaka huu Quran ilichomwa Sweden mbele ya Ubalozi wa Uturuki. Waturuki na waislam duniani waliandamana kwenye nchi zao kulaani sana.

Mwezi mmoja mbele (6 Feb 2023) Uturuki ikakumbwa na Tetemeko lililoharibu miundombinu mingi na kuua watu zaidi ya 59,000... Wakati huo Sweden(iliyochoma quran) wala haikukumbwa na chochote mpaka leo.

Sipati picha Sweden ndio ingekumbwa na tetemeko, mngekuja na propaganda nyingi sana za "Alah amewaadhibu".. ila sasa janga likawakumba nyie wenyewe.

Hili tukio lilinifanya niamini kuwa haya maneno yenu ya kulaani watu ni dua la kuku tu.
 
Waislsam wanavyopenda ligi kesho watanunnua zingine elf kumi na kulinunua eneo hilo kuwaproof wrong wazungu
na hapo ilipochomwa patajengwa msikiti tena?. Wanaochoma ni waumini wa kitabu hicho haina shida wanajichumia dhambi zao
 
Hapo zamani za kale, uchapishaji wa nakala za vitabu ilikuwa ni issue ngumu inayohitaji muda na mali. Waliandika Kwa mkono wenye kitabu chao walidhani Dunia haita badirika kiteknologia wakaweka masharti makali ya kutisha watu kukiogopa kitabu na wengine wamemeza hivyo hivyo Hadi Karne ya Sasa ya maendeleo kitechologia. Hata wachome vyote Quruan haita potea kamwe katika ulimwengu huu wa digitalization na kuna watu wamekimeza hicho kitabu chote.

Hakuna haja ya makasiriko wawaache tu mwisho wataona ujinga. Zaidi waweke nguvu kwenye kuprint kopi nyingi zaidi na wazigawe bure au app zaidi
unajua athari ya kuchoma kitabu hicho duniani? Ni sawa na kuteketeza imani hiyo. Kama ni ya Mungu itaishi milele na kama ni abrakadabra tu itatoweka duniani. Watu wataona ni upuuzi kuamini kitabu kinachochomwa moto hovyohovyo wala wachomaji hawadhuriki kwa kuchoma kitabu cha allah
 
Denmark ni sawa na swedeni, ongeza norway na finland, pata picha huko nako hao wahamiaji waanze kuchoma qur an, scandinavia yote hicho kitabu kitakuwa kimekataliwa. Ila hao wahamiaji ni wakorofi wanaenda kwenye nchi za watu na kuonesha chuki zao kwa kitabu kilichowakuza na kuwalea kiimani wanakiasi na kukisaliti
 
baadhi ya watu wanapenda namna waislam wana act kama kunguru so wanapenda kuwachezea.

kwa sisi watu wa mtaani kuna dhana kwamba ukipewa jina la utani ukalichukia lazima likunate,kila mtu ataendelea kukuita,ila ukicheka ukakausha ndio linafia hapo hapo.

kuchana kitabu cha dini,hakuna athali zozote kwa mchanaji,mwenye nacho(mungu),waumini wa kitabu hisika,wala watazamaji,kile ni kitabu tu,kinaweza hata kuchambiwa.
zaidi tu mchanaji anatakiwa ahurumiwe kwa kukosa busara.
Umesema ukweli Mkorintho
 
unajua athari ya kuchoma kitabu hicho duniani? Ni sawa na kuteketeza imani hiyo. Kama ni ya Mungu itaishi milele na kama ni abrakadabra tu itatoweka duniani. Watu wataona ni upuuzi kuamini kitabu kinachochomwa moto hovyohovyo wala wachomaji hawadhuriki kwa kuchoma kitabu cha allah
Well
 
Back
Top Bottom