Sweden: Waandamanaji wachana chana Quran hadharani, Ubalozi wa Sweden Baghdad wachomwa moto

kwa kweli biblia sio quran. sio kila mtu akisoma, ataelewa. YESU akupigana na yeyote. na aliposulubiwa aliwasamehe. alafu usichanganye mada. siku nyingine ukiongelea uislam, TUMIA QURAN. HAUWEZI kutumia katiba ya TZ, nchini kenya(ni mfano)
Hawezi kuelewa. Tatizo wanamforce Yesu aliyeandikwa kwenye kitabu Cha Mathayo awe Isa bin Mariamu, wakati Yesu anayemquote alikufa.
 
we vipi? Kwa kuwa sweden ni nchi ya wazungu ndio unajua wazungu wamefanya tukio hilo? Hujamsoma yule muiraq wiki chache zilizopita alivyofanya kwenye hiyo qur an? Sweden ina wahamiaji wengi wakiwepo wa mataifa ya kiislam, na unaambiwa hawafanywi kitu hata wakichoma vitabu vya dini yeyote
 
acheni hizo nyie, terrorism itoke wapi? Zimefanyiwa vibaya biblia na torah, watu wamenyamaza hawakuchoma ubalozi, eti qur an imefanyiwa mtima ndio mlete fujo? Tulieni acheni munkari sweden haitambui vitabu vya dini, mlikimbilia huko na dini yenu mmedandia mtumbwi wa vimbwengo. Kutwa kukumbilia nchi za watu na dini yenu. Nyamazeni kimya kama wenzenu wa biblia na torah
 
Mimi ni Mgalatia.
Pili bandiko langu umesoma kwa kupanick, Kuna sehemu nimemcrush mzungu?

As long tunatumia vitu walivyobuni wao, sina haja ya kuingilia sovereignty Yao, wao ndo wanatufanya hata tuwasiliane licha ya kwamba hatujuani.
 
wangeacha mungu wao ajitetee mwenyewe
Kitabu siyo Mungu wao we maku,waambie na hao wanaodai Mungu wao anajipigania/jitendea,ajihubiri mwenyewe tumsikie huko aliko badala ya kuwaacha watu wamuhubiri jua Kali wakirukwa mate,ajijengee kanisa na aache kuwafilisi masikini kwa zaka na sadaka
 
unajua maana ya upanga kiblia alivyosema Yesu? Usipotoshe biblia haikumaanisha hivyo. Usifananishe biblia na qur an katika kutafsiri maandiko
 
Chanzo hasa cha kuchanwa qur an na hao waandamanaji ni nini, uislam umewakwaza? Au ni wale waliochomewa torah yao? Wale wa biblia hawalipizi maana kisasi si juu yao biblia yao imewaonya wasilipize
 
Sasa maandamano na fujo na kuchoma balozi za sweden kwenye nchi za kiislamu yanatoka wapi kama ukichoma unachoma makaratasi?
Mbona hawaruhusu kuchoma Bendera?kama Bendera ni kitambaa tu?
 
Kitabu siyo Mungu wao we maku,waambie na hao wanaodai Mungu wao anajipigania/jitendea,ajihubiri mwenyewe tumsikie huko aliko badala ya kuwaacha watu wamuhubiri jua Kali wakirukwa mate,ajijengee kanisa na aache kuwafilisi masikini kwa zaka na sadaka
pole sana ndugu kwa kukosa.....
 

hicho kitabu cha kutoka YESU alikuwa kashakuja duniani?

ACHA UPOTOSHAJI WEWE.

MUNGU wa waislam ni dhaifu anatetewa na watu? au did i get something wrong here?
 
Jamaa wanazema wana mpango wa kuichoma hivi karibuni tena huko Sweden
Lengo hawawataki waislamu wahamiaji Sweden akufukuzaye hakwambii toka

Wakimbizi wa nchi za kiarabu wawe wanakimbilia Iran,Saudi Arabia na nchi zingine za kiislamu waache kukimbilia nchi za wala nguruwe kulinda imani zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…