Hawezi kuelewa. Tatizo wanamforce Yesu aliyeandikwa kwenye kitabu Cha Mathayo awe Isa bin Mariamu, wakati Yesu anayemquote alikufa.kwa kweli biblia sio quran. sio kila mtu akisoma, ataelewa. YESU akupigana na yeyote. na aliposulubiwa aliwasamehe. alafu usichanganye mada. siku nyingine ukiongelea uislam, TUMIA QURAN. HAUWEZI kutumia katiba ya TZ, nchini kenya(ni mfano)