Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Nachukia misaada
 
Ndio maana huyo mtu wenu anasema tz haiwezi kuishi bila mabebeu wake?
Unaelewa tofauti kati ya fact na hizo siasa unazoziita ni za mtu wako sijui mtu wenu?Unaelewa kuwa suala la budget kutegemea wazungu kwa asilimia zaidi ya 60 ni fact na wala siyo blah blah kama hizo unazopiga hapa?
 
Wajerumani walishatimuliwa hapa pamoja na misaada yao na kukata uhusiano kabisa tena wakati huo bado tukiwa wachanga kabisa lakini kulinda heshima yetu tulikataa kuamuliwa.Mkishasema sasa tunataka kujitegemea kuna gharama zake .Mambo yanayofanyika huko kunako bwawa la umeme la Nyerere yanatisha na kama siyo kukatisha tamaa wale ambao wanapenda kuabudiwa kwa kugawa misaada.Wakipenda waondoe misaada yao yote na Mungu awarehemu.
 
Amerejea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…