Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

UTANGULIZI:
Mtakumbuka kabla ya Rais Magufuli Tanzania ilikuwa inapata zaidi US$ 1.2bln Sawa na Tsh 2.7trl takribani trillioni 2.7 za kitanzania Kama msaada (Grant) pesa ya bure kabisa, huku wao Swedeni ikitoa karibu US$ 137.59 kila mwaka wa fedha Sawa Tsh 304bln hii pesa ya Swedeni peke yake ingeweza kujenga barabara ya lami toka Mkiwa Singida, Itigi, Mgandu, Rungwa, Mpaka Mbeya.

Sasa pesa yote ya Mabeberu ya mwaka mmoja kwa msiofahamu Pesa hii ingeweza kununua ndege 13 mpya sampuli ya hizi zilizoko Sasa kwa mpigo/kwa mkupuo,Tulipewa pesa hii bure kwa sharti la kuiimarisha " HAKI ZA BINADAMU TU "yaani kuwa na haki ya kuishi, kukusanyika, kuchagua chama cha Siasa unachotaka,Utawala wa Sheria,Vyama vya Siasa kupokezana Uongozi ,Uhuru wa habari,Uhuru wa Bunge etc


Sasa twende Kwenye Mada
:
Baada ya kunyimwa zile US$ 500mil takribani Tsh 1.1trl pesa ambayo kama tungeamua kugawana Watanzania wote 50mil basi kila mmoja wetu angepata Tsh 22,000/- ya mfuko wa Sembe,Tumenyimwa kwasababu ya Uzorotaji wa haki za binadamu Kwenye nchi yetu.

Tanzania yenye nakisi ya bajeti kati ya 5%-35% kila mwaka wa fedha Kwenye fedha za Maendeleo ambazo kwa Wastani huwa ni Kati ya 35%-40% ya bajeti nzima ya mwaka,Hii misaada ni muhimu Sana kwa Ustawi wa nchi yetu.

Tanzania inatajwa kuwa nchi ya pili baada ya Msumbiji Barani Africa kwa Upokeaji mkubwa wa misaada toka Swedeni chini ya Shirika lao la " Swedish development aid" SIDA

Mwaka huu wa fedha 2020/2021 Swedeni ilipanga kuisaidia bure nchi yetu ya Tanzania kiasi cha US$ 41mil Sawa na Tsh 90.2bln pesa ambayo ingeweza kujenga barabara ya Lami toka Kahama mpaka Chato kwa Rais Magufuli,Sasa watatoa 15% tu sawa na US$ 14.73mil ambayo ni 135mil Swedish Kronor kisa ni Kuzorota kwa haki za binadamu.

Tuendelee kuwa wapole kwani hatujui Kesho nini kinafuata ila generally Tanzania imechafuka sana Kimataifa nasubiri kuona ndugu zangu wa MATAGA watakavyolikabili hili Jambo kwa Uzito wake.


Tanzania tunataka tume huru ya Uchaguzi kamwe hatutaki machafuko.
 
Watakaoumia ni watu wa chini kabisa. Ingawa inchini kuna matukio yasiyofurahisha wengi Lakini pia lazima tufahamu kuwa hakuna nchi ya Magharibi ambayo itafurahia Tanzania imiliki rasilimali zake kikamilifu kama tunavyotaka iwe, maana rasilimali hizi ndiyo sababu hasa ya ukoloni na ukoloni mamboleo.

Tusiwape sababu ya kupandanishia hasira zao kwasisi kuacha kuifuata misingi ya utawala bora, utawala wa sheria na uchaguzi huru na haki. Maana vitu hivyo ndiyo malango na ngazi wanazotumia wakoloni katika kuingilia mambo ya nchi nyingine kupora rasilimali zao.
 
Tanzania inajitosheleza haihitaji pesa za mabeberu....🥳
 
ABC ZA 2020,
Kwenda zako unaongea vitu gani wewe kibaraka wa mabeberu? Tangu lini misaada ikawa mkombozi wa kiuchumi kwa nchi usika?

Tangu tupate misaada hiyo imetusaidia nini? Mbona JPM katekeleza Mega projects nyingi kwa hela yetu!
Wee fukara umejaa mawazo ya kifukara kalaghabao! Mxiuuuuuu#$$%%&
 
Kasome upya historia ya China halafu soma upya historia ya Tanzania. Halafu soma tena ulichoandika

Historia inahusiana vipi na watu kufanya kazi kwa bidii? Hata kama walikua socialist wakahamia capitalism baadae sio kigezo cha watu kushindwa kufikiria nje ya box! Una lipi LA maaana LA kusema sisi sio wavivu ukiachana na historia haina uhusiano wowote
 
Elli, kwani unadhan izo advancement walileta serikali ama wananchi kujituma? Kwamba serikali ya China ndo inatengeneza huawei? Alibaba? Youtong? Na nyingine nyingi

we utawaza lini kama MTU mwenyewe standards maaana unaongea vituko
 
Endelea kuota na kujidanganya! Unajua deni LA Taifa limefikia kiasi gani? Unajua kuwa hakuna salary increment kwa miaka minne? Unajua kuwa unajidanganya kuwa SGR unajenga kwa pesa cash? Unayajua haya? Hutaki kukubali kwa kuwa uko jikoni unakula makombo. Nakubali kushindwa.

Ndo maaana nawaambiaga wapinzani mjitathmini mnatia aibu hill taifa! Na nakubali ccm wana madhaifu yao lakini ukilinganisha na upinzani ni bora Mara 1000 , ivi unakuta MTU analalamika deni LA taifa.. Daah! Baba our current monetary system inaitwa dept monetary system sasa hatuwaelewi na cha ajab pia wapinzani wanawasilisha kabisa bungeni deni LA taifa

Salary increment kwa kawaida inatakiwa kwa aliefanya vizuri ama kupanda cheo sasa siwaelewi wapinzani??
Salary increment inatakiwa iwe sambamba na inflation inavoenda the more money you give out the more the country economy collapse, ndo maaana sasahv tanzania kuna hela nyingi hazina kazi tena mfanl shilingi 5,10,20,50 hii yote imetokana. Na increment zilizokua zinaongezwa before, the more unawaongezea wananchi pesa ndipo wafanyabiashara wanaongeza bei... Maelezo zaidi urudi shule uelewe izi concept

SGR initial phase ilikua 100% pesa za ndan and kulikua na papers kwenye post moja uku forum, kuhusu kula makombo nashindwa ata nkupe jibu gan ila kifupi upinzani mnatia aibu taifa
 
we ni pumbimbi kweli, kwan unadhan izo advancement walileta serikali ama wananchi kujituma? Kwamba serikali ya China ndo inatengeneza huawei? Alibaba? Youtong?? Na nyingine nyingi

we utawaza lini kama MTU mwenyewe standards maaana unaongea vituko
Ache nyege tulia basi! Maana naona full contradiction, sijui hata unaongea ujinga gani! Sina muda wa kulumbana na armatures. Hata hueleweki tafuta watoto wenzako.
 
Ache nyege tulia basi! Maana naona full contradiction, sijui hata unaongea ujinga gani! Sina muda wa kulumbana na armatures. Hata hueleweki tafuta watoto wenzako.

Unalalamikia serikali utadhan serikali zingine ndo walileta hayo maendeleo nliokutajia apo, point yangu ni Kwamba wananchi wanajituma nchi zingine ndo maaana nchi zao zinaendelea sana kuliko wewe kelele zako unapeleka ccm unaonekana crazy if this is a good word for you
 
Hivi mnajua maana ya "LGBT people" ??
Au mnashangilia tu na kudhani ni jambo jema. Sisi kama Taifa tuna Mila na deturi zetu na hatupaswi kulazimishwa ushoga kisa ni haki za ubinadamu. Waondoke na hela zao na maiha yataendelea vizuri tu.
 
Hivi mnajua maana ya "LGBT people" ??
Au mnashangilia tu na kudhani ni jambo jema. Sisi kama Taifa tuna Mila na deturi zetu na hatupaswi kulazimishwa ushoga kisa ni haki za ubinadamu. Waondoke na hela zao na maiha yataendelea vizuri tu.
Wewe unalima giligilani huko manyara unadhani dunia inaishia hapo kwa wabarbaigi.

Muulize Magufuli kama ana ubavu wa kukataa misaada kwa kuwa tu imeambatanishwa na masharti ya kutowagasi LGBT!

Muulize amepokea misaada mingapi yenye hayo masharti mpaka sasa na kama amewahi kukataa hata mmojawapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu tupate misaada hiyo imetusaidia nini? Mbona JPM katekeleza Mega projects nyingi kwa hela yetu!
Swali lako linaeleweka na kuna jibu: Inategemea. Kuna mifano mingi ya nchi zilizotumia mikopo kwa buasara na kufaidi. Mfano nchi nyingi za Ulaya ziliharibika kabisa baada ya Vita Kuu ya Pili na hapo Marekani kuanzia mwaka 1948 ilimwaga pesa USD bilioni 12.4 kupitia "Marshall Plan" na pesa hiizi zilifika hasa Uingereza (26%), ikifuatwa na Ufaransa (18%) na Ujerumani ya Magharibi (11%). Milioni 9 hivi ilifika kama Msaada" wa zawadi, mengine kama mikopo kwa masharti fulani.

Kwa jumla ilikuwa msaada muhimu kupeleka nchi hizi tena kwenye njia ya mafanikio - 1948 bado zilkuwa na njaa (Ujerumani vyakula vilipatikana hadi 1950 kwa mgawio tu, Uingereza hadi 1953, yaani kila mwananchi alipata kadi za kununulia vyakula kwa kiwango fulani).

Marekani ilifaulu kujenga athira yake ya kisiasa dhidi ya Urusi (adui kuu wakati ule), nchi zilizopkoea zilifaulu kujenga uchumi na kutengeneza upya muiundombonu na viwanda.

Kuna mifano ya kinyume, hasa pale ambako mikopo ilitumiwa ama vibaya (wizi upande wa viongozi) au bila busara.

Miradi mikubwa ya TZ hadi sasa imelipiwa kwa madeni ya kibiashara nisipokosei; "
Tanzania has secured a $1.46 billion concessional loan from the Standard Chartered Bank's Group to fund its standard gauge railway line between Morogoro and Dodoma.

Finance Minister Dr Philip Mpango said the new loan was part of an agreement reached with Standard Chartered Bank Group executive director Bill Winters in Dar es Salaam, which would go to fund the 430km line between Morogoro and Makutupora." (chanzo:Tanzania secures $1.46b SGR loan from Stanchart) Raisi haikumaanisha kwamba pesa ya reli zilipatikana serikalini tayari, bali serikali iliweza kukopa pesa hii kwa benki kwa njia ya kawaida, bila kuomba kwanza guarantee kutoka nchi za nje, IMF au World Bank.

Inayobaki ni deni na busara ya deni itaonekana baadaye, kama reli italeta mapato ya kutosha kulipia gharama za madeni haya aana benki inategemea kila senti inarudishwa pamoja na riba iliyopatanwa.
Katika miaka ya nyuma (2001 na 2006) "nchi beberu" ziliamua kufuta madeni mengi ya Tanzania.

Tangu siku zile madeni yalipanda tena, ila tu zaidi kutoka "wabepari" kama benki za biashara (hawana masharti kisumbufu kama haki za binadamu) kuliko "mabeberu" (taasisi za kiserikali zinazosumbua mara kwa mara na madai ya aina hii.


"
 
WAPUNGUZE TU TUNAPOKEA HELA HUKU
 

Attachments

  • VID-20200204-WA0027.mp4
    5.2 MB
Kwenda zako unaongea vitu gani wewe kibaraka wa mabeberu? Tangu lini misaada ikawa mkombozi wa kiuchumi kwa nchi usika?
Tangu tupate misaada hiyo imetusaidia nini? Mbona JPM katekeleza Mega projects nyingi kwa hela yetu!
Wee fukara umejaa mawazo ya kifukara kalaghabao! Mxiuuuuuu#$$%%&
Ushafanya tathimini ya miradi iliyopo nchini ambayo tumeipata kwa misaada?Mabeberu wakiamua hatuwezi,tutakwama!Fikiri madawa kama ya ARV na mengineyo tunayopata bure,unajua gharama zake?

Tunajifanya kutunisha mshipa wakati hadi vyoo mashuleni tunasaidiwa na hao hao mabeberu!
Ndugai kalia bungeni kuwa kwa usaliti wa Zitto shule jimboni kwake kongwa ambayo wanafunzi wanakaa kwenye vigoda na kutumia matundu mawili ya choo,fursa ya kuondokana na tatizo hilo imekwamishwa!

Halafu unajimwambafai hapa kuwa mna jeuri hiyo,hata pesa ya kufanya miradi hiyo inapatikana kwasababu tunasaidiwa mambo mengine muhimu kama elimu na afya!

Pesa tunayokusanya asilimia kubwa inaenda kulipa mishahara na madeni,tunabaki na fedha kidogo sana ambazo hazitoshelezi!
 
Back
Top Bottom