Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Endelea na ndoto nyevu tu

Vingine vyote ni uvivu wetu tu, kama China waliweza kutoka from 0 mpaka kushikilia uchumi wao wenyewe tunashindwa nn?

Saahv ukiongelea china unaongelea direct challenger wa USA na RUSSIA , miaka tunapokea uhuru walikua level moja na tanzania nn sasa kinashindikana APA? Actually kuna fields marekani hawakanyagi ndan kwa china
 
stakehigh,
Naona uko kwenye usingizi mzito sana
Sweden hawatunii tsh, msaada tunapewa in us dollars! Tsh inazunguka tz tu we can use our own cash effecient kama phase ya sgr iliwezwa kutengenezwa kwa pesa za ndan then hakuna lunch is hind ikan a including kununua ndege cash pia, tatizo lako we hutaki kufikirisha liakili lako limelala tu

Fields zingine tukiwa serious hazitusumbua ata health mfano Rwanda wamewezs kutengeneza smartphone yao wenyewe, Kenya wameweza kuzindua dawa ingine ya ukimwi, Australia wameweza kutibu cancer 100% sasa we unasubiria misaada tu?
 
stakehigh,
Endelea kuota na kujidanganya! Unajua deni LA Taifa limefikia kiasi gani? Unajua kuwa hakuna salary increment kwa miaka minne?

Unajua kuwa unajidanganya kuwa SGR unajenga kwa pesa cash? Unayajua haya? Hutaki kukubali kwa kuwa uko jikoni unakula makombo. Nakubali kushindwa.
 
Vingine vyote ni uvivu wetu tu, kama China waliweza kutoka from 0 mpaka kushikilia uchumi wao wenyewe tunashindwa nn?

Saahv ukiongelea china unaongelea direct challenger wa USA na RUSSIA , miaka tunapokea uhuru walikua level moja na tanzania nn sasa kinashindikana APA? Actually kuna fields marekani hawakanyagi ndan kwa china
Sawa Kabisa! Mjiulize CCM mna shida gani kwenye vichwa vyenu?? Tumewaachia nchi but hadi Leo kampeni ya CCM ni kuendelea kuahidi kuleta maendeleo! Fifty years later!

Ukitaka maendeleo unayoyazungumzia if at all you mean business kweli acheni watu waongee na mkubali mawazo huru! Acheni udini, ukanda na ukabilia. Let's come together, Tanzania kwanza iwe kwa vitendo sio mkiwa majukwaani mnaongea hivi mkiwa sirini mnaongea vile.
Pia don't manipulate state organs, mziache ziwe independent
 
Tunampongeza Mh. Rais JPM kwa juhudi za dhati kama hizo katika kuinua uchumi
 
Waulize zimbabwe if they managed to do that.Ukipewa Ban na wamerekni wengine wanpigwa bit. Wanafuata methodology ya CCM mwenyekiti akikupiga ban wanaCCM wanakususia pia.Tutakuwa affected kiuchumi
Sio kwa mwamba JPM
 
Naona jinsi watu wanashangilia misaada kupunguzwa au kusimamishwa kama ya WB, hivi mnajua nani anapata shida hiyo misaada ikifutwa?

Mmejiuliza vizuri? Maana wengi mnadhani serikali au labda Mh Rais ndio atapata shida, kumbe ni mm, ww na ndugu zako, so maana yake ukishabikia misaada au soft loan kufutwa unaombea au unashabikia ww, mm na ndugu zako kupata shida.

Hivyo vichwa ndani maboga tupu nadhani
 
Vingine vyote ni uvivu wetu tu, kama China waliweza kutoka from 0 mpaka kushikilia uchumi wao wenyewe tunashindwa nn?

Saahv ukiongelea china unaongelea direct challenger wa USA na RUSSIA , miaka tunapokea uhuru walikua level moja na tanzania nn sasa kinashindikana APA? Actually kuna fields marekani hawakanyagi ndan kwa china
Kasome upya historia ya China halafu soma upya historia ya Tanzania. Halafu soma tena ulichoandika
 
CCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi na Magu wetu mpaka kieleweke! Nyie wenye ombaomba 'mentality' ndio mtapata taabu sana! Tumeamua kujitegemea, na hao waSwidish' wakae chonjo, soon tutakuwa donor country na tutawasaidia pia masharti ya kipuuzi wanayotoa kwetu sasa ili wakome!
 
britanicca,

Naona jinsi watu wanashangilia misaada kupunguzwa au kusimamishwa kama ya WB, hivi mnajua nani anapata shida hiyo misaada ikifutwa? Mmejiuliza vizuri? Maana wengi mnadhani serikali au labda Mh Rais ndio atapata shida, kumbe ni mm, ww na ndugu zako, so maana yake ukishabikia misaada au soft loan kufutwa unaombea au unashabikia ww, mm na ndugu zako kupata shida.. Hivyo vichwa ndani maboga tupu nadhani
Akili zinaanza kuwarudia Sasa... Si mlikuwa mnasema sanctions haziwezi kuwadhuru Nyie ni donor Kantri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari ni hatua
Watakao pata shida si hao walio madarakani,bali wapiga kiura na wapanga foleni vituo vya kura ndo wataonja joto ya jiwe.
Wanachi ndo watakula ngumi,wao watakula bata kama kawaida yao,wewe sasa ndo tutakutana vijiwe vya kahawa.
 
halafu hii mibeberu inatakiwa tufunge balozi zetu zote za kwa mabeberu ili wajue HATUWAPENDIIIII 🙂
 
M nadhani busara itumike tu. Hili suala la wanaopata mimba wasirudi shule naona halina mantiki. Yani nchi inakosa misaada kisa kuzuia wanaopata mimba wasirudi shule...serikali n lazm istep down ijitafakari
Hamuoni wakuwatia hizo mimba, mnafwata watoto wa shule! Kama lengo ni kuwatetea, washauri wasifanye matusi wakiwa shuleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwendo huo watakuwa wametuelewa kama tunataka kujitegemea ila tu watuachie shobo la masharti
 
Back
Top Bottom