Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Kingine wajuvi wautawala mniume sikio hapa....hivi mataifa makubwa huwa yanatoa msaada au mikopo.....maana naona ubongo wangu unafeli kuipata tafsiri halisi na uhalisia
 
hawa walizoea kutoa pesa za miradi zinaliwa bila miradi kutekelezwa hivyo kuilazimu serikali kuendelea kukuza deni hali inayowapa fursa wao kuendelea kutunyonya maliasili zetu, sasa wanaona pesa inatumika katika miradi wanajua soon tutapunguza au kuacha kabisa kuwategemea na hapo watakosa kutunyonya.
Nimeipenda hii, ila umeiweka kinyumenyume.
Nyinyi wadaka makombo mtapata shida sana hapo mlipo.
 
Mwanamkiwi,
Hivi bado unaamini unao uwezo wa kumweleza mtu aliyeamua kwa hiari yake kkujitoa ufahamu akusikilize wewe?

Hawa wameamua kujitoa ufahamu wenyewe. Wanchojua wao ni kile anachowaambia mkubwa wao bila kujali maana halisi ya maneno wanayotumia.

Mfano mzuri ni hilo neno "Mabeberu" - ambalo mkubwa wao anajua linawahusu watu wote wenye ngozi nyeupe, hasa hasa wanaotokea bara la Ulaya na Marekani.

Ukijaribu kuwaeleza kama wewe ulivyofanya hapa, pengine hata hayo maandishi yako wasiyasome, kama sio kuyapuuza hata wakisoma na kuelewa ulichoandika.

Hawa hakuna 'reasoning' tena inayoweza kuwabadili, isipokuwa tusubiri tu kama 'tsunami' itakuja, basi itawafagilia mbali wote, tuanze upya kabisa.
 
Balozi Slaa arudishwe nyumbani. Atakuwa amekula njama na hawa mabeberu wakate misaada. Kwa nini hakutetea nchi yetu dhidi ya beberu Sweden lisikate misaada?

Bure kabisa Balozi Slaa. Umeaibisha taifa. Badala ya kutetea taifa dhidi ya mabeberu unateleza kwenye barafu na Josephine tu
Mjiandae kutekwa sana ili tupate za kuendesha nji hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M nadhani busara itumike tu. Hili suala la wanaopata mimba wasirudi shule naona halina mantiki. Yani nchi inakosa misaada kisa kuzuia wanaopata mimba wasirudi shule...serikali n lazm istep down ijitafakari
 
Huko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.

Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Labda hiyo 25% ndio kaipigania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutembee vifua mbele we are in the right track
 
Wangekata tu misaada hao wahisani wote ili tujisimamie wenyewe.

Wenye akili tu watanielewa
 
We can still generate our own revenues with large exports, tourism and many more! The only support ambayo inaweza kututisha ni inaohusiana na health haswa kipindi iki virus nyingi
 
Huko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.

Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo

UK na USA wanashirikiana katika masuala ya usalama, siku sio nyingi watatoa nao tamko
 
Wataanzania tunaogopa international standards sana, sio wote but most of them haswa nkisoma izi comment naona kabisa Yaaani bila serikali watu wanakufa, inaonyesha watu hawajui tunapoelekea mfano bitcoin sio government tracked, inamaanisha with 5 years time tutashift from no government dependent to self international standards ila still naona watu hawana uelewa dunia inaelekea wap, ni vema tukajitoa kwenye hii misururu ya kunyenyekea watu

Mtegemea cha nduguye hufa maskini
 
We can still generate our own revenues with large exports, tourism and many more! The only support ambayo inaweza kututisha ni inaohusiana na health haswa kipindi iki virus nyingi
Endelea na ndoto nyevu tu
 
Tutawauzia wachina na warusi na waafrica wenzetu
Waulize zimbabwe if they managed to do that.Ukipewa Ban na wamerekni wengine wanpigwa bit. Wanafuata methodology ya CCM mwenyekiti akikupiga ban wanaCCM wanakususia pia.Tutakuwa affected kiuchumi
 
Back
Top Bottom