ANAYE FAIDIKA NA HIYO MISAADA NI MAGUFURI, BASHITE NA GENGE LAO. KWA HIYO NI VIZURI IKATWE TUKOSE WOTE.Anayefaidika na misaada hiyo ni Nani? Mhe Rais na familia yake au wanzazengwe wa Ukoo wako
Taratibu mkuu, huenda TISS wakakusikiaUnasema CCM ipi, hii ndani ya Mfuko wa Suruali wa Magufuli?
Iondolewe alafu we unavoona upinzan nan ana akili timama ya kuongoza nchi? Lema? Mbowe?halima mdee?
Huko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Msubirie sasa hio new generationWEWE KILAZA NEW GENERATION IS COMING. WE NEED TO GET RID OF MA CCM .
Wewe kwa vile huna akili timamu huwezi kuelewa. Endelea kusifu na kuabudu binadamu mwenzako.
OyeeeCCM OYE
Wewe ni jingalao!Unaelewa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya budget yetu huwa inategemea misaada ya wazungu?Unaelewa kuwa bila wazungu ni hakuna afya,ni hakuna elimu,ni hakuna maji,e.t.c?Unafikiri kwa kutumia akili gani?Nikikuita kuwa wewe ni jingalao nitakuwa nimekuonea?Tanzania haiwezi kupotea kwa kukosa misaada
Kama unaamini nchi haiwezi kusonga mbele bila hao wazungu, vivyo hivyo huwezi kutegemea aliyenacho haoa nchini atakuacha uwe huru na uishi kwa haki zako.
Chini ya kamanda wa ardhi bwana magufuli nchi hii itakuwa tajiri kuzidi mataifa yote ya afrika
Na pia tutakuwa donar country?Chini ya kamanda wa ardhi bwana magufuli nchi hii itakuwa tajiri kuzidi mataifa yote ya afrika
Ndio maana huyo mtu wenu anasema tz haiwezi kuishi bila mabebeu wake?
Ila hapa nchini kuna mbobezi aliyeapa kuchukua nchi at any cost