Venezuela ana dhahabu nyingi kuliko Tz. Ana mafuta Mengi kuliko Iran ila hauzi popote maana hakuna wateja sababu ya vikwazo.Hatutaki misaada yao sasa, Tanzania nchi tajiri sana iliyobarikiwa kila kitu. Tutachimba dhahabu zetu na kuziuza, tutalima maeneo yako mengi sana hawa mabeberu watuache kabisa. Hizi ni figisu za mabeberu baada ya kuona Jemedari wetu Dr JPM amewabana kwenye mianya yao ya unyonyaji sasa wanatapatapa.. Go Go President Dr Magufuli.
SGR na Stiglers kuna uwezekano zisiishe maana hela haitakuwepoKila siku tunakopa kujenga hiyo SGR, Stiglers na juzi mpaka bunge limelia kukosa trilioni 1 kutoka WB.
Haziishi
Maana hadi leo Kamata hawajamaliza. Kilosa ndo bado kabisaaa....Haziishi
Ila Elimu inajengwa kwa misaada?Nchi haiwezi kujengwa kwa misaada
Mkopo vs Msaada
Tatizo umeandika kisomi sana chief.Pamoja na kutoshabikia kihivyo mambo ya hawa weupe, inasikitisha.
Ule usemi kwamba WENGI WAPE hata kisayansi unakubalika. Events frequently observed huelekea kwenye NORMAL DISTRIBUTION (variance zero, density 1) yaani N(0,1). Sauti ya wengi inapelekea USAHIHI kwenye jambo lisemwalo.
Kitabu cha Baba wa Taifa - TUJISAHIHISHE- kimesheheni MAUDHUI ambayo ni very relevant katika process ya kusahihisha hayo yanayokemewa na sauti za wengi kipindi hiki. They cannot be wrong.
Nchi haiwezi kujengwa kwa misaada
Huku kayakodoa kodoBado kasinzia
Hapa kibaruani kwangu ninepewa jukumu la kusimamia funding negotiation extension ya millions of CHFs na tupo kwenye hatua nzuri ya kusaini contract Sasa nahofu hili lisije likaathiri mazungumzo.
Sweden beberu namna gani? Walikuwa na koloni? Wapi?Balozi Slaa arudishwe nyumbani. Atakuwa amekula njama na hawa mabeberu wakate misaada. Kwa nini hakutetea nchi yetu dhidi ya beberu Sweden lisikate misaada?
Bure kabisa Balozi Slaa. Umeaibisha taifa. Badala ya kutetea taifa dhidi ya mabeberu unateleza kwenye barafu na Josephine tu
Nikikumbuka maneno ya Lissu mwanzoni kabisa mwa hii ngwe huwa nakikubali sana kile kichwa,aliyaona haya mapema sana.Sasa hata ukinuna itasaidia nini wakati tuliowachagua ndio wametufikisha hapa??!! Iwe hivyo tu akili zituingie kwani njaa ndio huleta ubunifu, lisu aliyaona haya maoema sana!! Leo wanataka eti zitto na lisu ndio waonekanechanzo cha haya!!!! SIASA ZA KIBABE SIO KWA DUNIA YA SASA!! YAANI MIAKA YA LEO KIONGOZI ANALETA SIASA ZA KINA BOKASSA!!! AACHWE TU!!!
Nchi haiwezi kujengwa kwa misaada
Tafadhali wasikate tuu ruzuku kwenye shirika ninalofanya kazi. SIDA wananiweka Sana mjini.
Na Dr Padre Slaa si yupo kule au aliondoka? Alisifiwa sana kaimarisha mahusiano ya hizi nchi zetu mbiliBado kasinzia
Balozi Slaa arudishwe nyumbani. Atakuwa amekula njama na hawa mabeberu wakate misaada. Kwa nini hakutetea nchi yetu dhidi ya beberu Sweden lisikate misaada?
Bure kabisa Balozi Slaa. Umeaibisha taifa. Badala ya kutetea taifa dhidi ya mabeberu unateleza kwenye barafu na Josephine tu