Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Aaahh I WISH WANGE KATA MISAADA YOTE KABISA MAANA HIYO 25% ILIYO BAKI BADO NI NYINGI GGGGGRRRRRRRRRRRRR!!!!!!! NAPATA HASIRAAAAA!!!!!!
inabaki 75% mkuu. yaani ni kama hawajafanya kitu. 😢
 
Haaaahaaaaaha nilimwona alitaka kumkuda Lissu studio badala ya kujenga hoja,punguani sana yule poor outdated lawyer
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Hawa jamaa wanampigia kampeni Jiwe waziwazi. Na mtoa post bila kujua naye anampigia kampeni bila kujua! Kwamba watapunguza misaada kwa kipindi cha miaka mitano ijayo hadi 2026 baada ya Jiwe kuwa ametoka madarakani! Maana yake Oktoba, 2020 hana mpinzani! Maskini Lissu!!! Maskini Membe!!!!
 
Sweden beberu namna gani? Walikuwa na koloni? Wapi?
Siyo ni hao waliomwaga pesa nyigi Tanzania wakati wa Nyerere? Ubeberu wa ujamaa?
Dr. Magufuli na Prof. Kabudi wametufundisha kuwa wazungu wote ni Mabeberu akiwemo huyo Sweden. Wote hao ni mabeberu tena wanatuonea wivu sana sisi Watanzania na utajiri wetu.

Beberu siyo lazima awe ametufanyia ukoloni kwa mujibu wao. Ndiyo maana hata USA ni beberu mbele ya macho yao japo hajawahi kutufanyia ukoloni.
 
China yupo wasitusumbue mh raisi piga kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…