Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

Uende tu huko Tanzania sisi Kenya viongozi wetu wapo busy na chupi za akina mama, hiyi Kenya yetu ilishajifia saivi watu wanakufa na njaa turkana tupo busy na uchaguzi kila baada ya miezi mitatu

We are like walalalala tibiiiim all time
The truth is, Kenya things are failing apart.
 
BAK umesoma hapo miradi wawekezaji Genuine watakuja Tanzania na wale fake watalala mbele
Hawezi kufurahia kamwe huyo jamaa maana anachopigania yeye siyo ushauri wake ukifanyiwa kazi bali kuona Tanzania chini ya Magufuli ikifeli tu basi. Ni wa kuwaonea huruma wote hao.
 
Reactions: Oii
HAkuna kampuni ya umeme ambayo itakubali kumwaga $2.5B bure bila kupewa guantee kwamba umeme wote utanunuliwa na TANESCO ..... kama hamtakubali basi itabidi wapunguze huo mradi na wajenge plant ndogo kama 50MW kama vile Kenya ilivyo waambia, Ni lazima kampuni hio isign mkataba unaoitwa power purchase agreement ndio ianze ujenzi..
Na mkikubali wajenge hio plant ya $2.5B alafu baadae mkakatae kuwalipa fidia ya stima yote hio ya $2.5B , kumbuka hio kampuni ni multinational company, wanauwezo wa kuenda kwa international court of arbitration na kulazimu serikali ya TZ kuwalipa fidia ya stima walio generate hata kama hamkua na uwezo wa kuutumia wote, na serekali ikikataa basi mtafanywa vile mlivyo fanywa na ile bombardier yenu.. mkinunua kitu huko nje, kinazuiliwa na kupigwa auction juu kwa juu.


hapo kwa hio habari umeona hapo wanasema.....

The only project outside this limited framework is the 310-megawatt Lake Turkana Wind Power in northern Kenya, which was built at a cost of Sh70 billion. But despite being completed the electricity is not used due to lack of a transmission line, subjecting consumers to a Sh5.7 billion fine.

--------
Hio kampuni ya turkana wind farm ili demand kulipwa bill ya stima $57Million ambayo serikali ilishindwa kusambaza kwa wateja...... Alafu kama ilivyo kenya, badala ya serikali kupitia kenya power kulipa hio bill, Kenya power walichukua hilo deni na kulisambaza kwa kodi ya stima kwa wateja wa kawaida na kusababisha bei ya stima kupanda hata baada ya kuongeza generation capacity
 
Kama nilivyosema, uncle Magu yupo vizuri sana, tena sana katika maeneo ya kusimamia maslahi ya Taifa, tatizo lake ni kuminya uhuru wa kisiasa na kujieleza, lakini huko kwengine yupo vizuri sana, hiyo uliyosema inaitwa capacity charge, ambayo unalipa hata kama mitambo haizalishi umeme, ndiyo inayotutesa tulipowatafuta IPTL zaidi ya miaka kumi iliyopita tulipokua na mgao mkubwa wa umeme, katika kitu kimojawapo kinachomfanya asipate usingizi ni hiyo capacity charge, hawezi kurudia hilo kosa, by the way kwa sasa hivi hatuna tatizo kubwa la umeme, na hivi tunajenga umeme wa maji wa 2100MW, the cheapest source of electricity, sioni kama serikali itakuwa kwenye pressure ya mradi wa umeme wa private kwa sasa
 
basi hio kampuni iliokimbia Kenya inalazima wajenge 600MW kwa mpigo mmoja tena serekali iwape guarantee kwamba tutanunua hio stima ....kumbuka tayari tumeshapiga dili na kampuni nyengine kujenga hadi 1000MW za solar hapa kenya ambayo itajengwa in small phases kulingana na projected demand hadi eneo hilo hilo la malindi
 
Kama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
SGR inakuja nanitahitaji umeme mwingi sana, pia umeme ni gharama sana kwa Tanzania, ni wachache sana wanaotumia majikomya umeme kupikia, power ikiwa nyngi na bei itashuka tu
 
Sasa kama walishindwa kufikia makubaliano na viongozi wa Kenya ambao kwa ujumla they are not strong negotiators ukilinganisha na uncle Magu, wataweza kweli huku?, kumbuka ujumbe wa Barick Gold mine mazungumzo yanaendelea huu ni mwezi wa tatu sasa, Magufuli sio mchezo, waache waje wakutane na kisiki cha mpingo
 
Tanzania ina mazingira bora ya uwekezaji...ila utapeli hatutaukubali tena
 


Tayari tulisha sign dili ya $2.2B 1000MW solar power plant ambayo itajengwa pole pole in 4 phases eneo hilo hilo, tena tukaongeza mkataba wa kujenga another $2.2B 1000MW solar power plant nyengine in future kama kutakua na demand https://cleantechnica.com/2015/09/29/skypower-double-solar-power-investment-kenya-4-4-billion/

Sasa hii kampuni inalazima tungie mkataba mwengine $2.53B 600MW wind farm, tumewaambiia kwa sasa tuna uwezo wa kukubali kununua 50MW kwa mpigo lakini hawataki wanataka watulazimishe kununua 600MW.... hapo hamjanyakua chochote..


Lamu, Malindi to host 1,000MW power plant

The Ministry of Energy has signed a Sh220 billion ($2.2 billion) deal with an American firm for the development of solar power in Kenya.

The agreement with SkyPower was signed during the sixth Global Entrepreneurship Summit that ended Sunday at Gigiri, Nairobi. SkyPower is one of the largest developers and operators of utility-scale solar photovoltaic (PV) energy projects.

Kerry Adler, the SkyPower president and chief executive officer, said his company intends to develop world-class solar projects in Kenya to be built in four phases over the next five years.

He said the project will include fabrication and assembly plants. Approximately Sh17.5 billion ($173 million) will go towards educating, training, research and development.

Electrification goals

“Kenya has become an African hub for innovation and entrepreneurship and SkyPower is proud to contribute to this unprecedented milestone in Kenya’s ambitious renewable energy programme,” Mr Adler said while making the disclosure at the GES.

He said the projects will help Kenya to realise its electrification goals and support development of renewable energy.
Mr Adler estimated that the investment will create more than 25,000 jobs in Kenya.

SkyPower executive vice president Charles Cohen said the company works with communities to ensure that those closest to the developments reap the rewards of new jobs, education, skills training and accessible energy.
 
Sijuhi kama tunahitaji huu mradi kwasasa, Raisi alishakataa umeme wa wawekezaji hataki mambo ya capacity charge.
 
Hizi project ni kama zile za Economic hitman huge project that bring huge debts with few benefits
 
Wacha sie wenye kuuhitaji tuuchukue maana wamesema tuna superior grid connection. Kumbukeni mmeshindwa kujenga electrical SGR.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
BAK umesoma hapo miradi wawekezaji Genuine watakuja Tanzania na wale fake watalala mbele
Unatakiwa umtag ili na yeye ajitetee tufahamu upande wake. Sasa hii haisaidii.
cc BAK
 
Reactions: BAK
Only time will tell, kama ni genuine kuwepo na transparency ya mkataba husika ili kujua hizo details. Hata wachina wanaojenga bandari pale Bagamoyo kwa baadhi unaweza kabisa kuonekana ni genuine lakini ukizijua details kwa jinsi tulivyopigwa unajua ni WIZI MTUPU!

Wapeleke hizo details Bungeni Wabunge wakazijadili kwa kina hapo ndiyo tutajua kama una maslahi kwa Watanzania au ni IPTL nyingine,

BAK umesoma hapo miradi wawekezaji Genuine watakuja Tanzania na wale fake watalala mbele

Huyo BAK yeye huwaga anacomplain tu, hii ni habari mbaya sana kwake.
 
Kama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
kumbuka serikali inasambaza umeme vijijini, kuna viwanda vinafufuliwa na vingine kujengwa, kuna treni za umeme zinajengwa n.k
 
Amid political crisis, economy faces downturn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…