DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,966
Nchi ya kitu kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The truth is, Kenya things are failing apart.Uende tu huko Tanzania sisi Kenya viongozi wetu wapo busy na chupi za akina mama, hiyi Kenya yetu ilishajifia saivi watu wanakufa na njaa turkana tupo busy na uchaguzi kila baada ya miezi mitatu
We are like walalalala tibiiiim all time
Hawezi kufurahia kamwe huyo jamaa maana anachopigania yeye siyo ushauri wake ukifanyiwa kazi bali kuona Tanzania chini ya Magufuli ikifeli tu basi. Ni wa kuwaonea huruma wote hao.BAK umesoma hapo miradi wawekezaji Genuine watakuja Tanzania na wale fake watalala mbele
Kama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
HAkuna kampuni ya umeme ambayo itakubali kumwaga $2.5B bure bila kupewa guantee kwamba umeme wote utanunuliwa na TANESCO ..... kama hamtakubali basi itabidi wapunguze huo mradi na wajenge plant ndogo kama 50MW kama vile Kenya ilivyo waambia, Ni lazima kampuni hio isign mkataba unaoitwa power purchase agreement ndio ianze ujenzi..Magu amesema kila anayekuja kuwekeza kwenye umeme aje kivyake kufanya biashara, kama vile kufungua supermarket hakuna tena mikataba na serikali kuwapa gerentii ya kuununua umeme. Chini ya Magufuli uchumi upo kwenye mikono salama, tupiganie awe mdemokrasia zaidi, huko ndiko anatetereka
Kama nilivyosema, uncle Magu yupo vizuri sana, tena sana katika maeneo ya kusimamia maslahi ya Taifa, tatizo lake ni kuminya uhuru wa kisiasa na kujieleza, lakini huko kwengine yupo vizuri sana, hiyo uliyosema inaitwa capacity charge, ambayo unalipa hata kama mitambo haizalishi umeme, ndiyo inayotutesa tulipowatafuta IPTL zaidi ya miaka kumi iliyopita tulipokua na mgao mkubwa wa umeme, katika kitu kimojawapo kinachomfanya asipate usingizi ni hiyo capacity charge, hawezi kurudia hilo kosa, by the way kwa sasa hivi hatuna tatizo kubwa la umeme, na hivi tunajenga umeme wa maji wa 2100MW, the cheapest source of electricity, sioni kama serikali itakuwa kwenye pressure ya mradi wa umeme wa private kwa sasaHAkuna kampuni ya umeme ambayo itakubali kumwaga $2.5B bure bila kupewa guantee kwamba umeme wote utanunuliwa na TANESCO ..... kama hamtakubali basi itabidi wapunguze huo mradi na wajenge plant ndogo kama 50MW kama vile Kenya ilivyo waambia, Ni lazima kampuni hio isign mkataba unaoitwa power purchase agreement ndio ianze ujenzi..
Na mkikubali wajenge hio plant ya $2.5B alafu baadae mkakatae kuwalipa fidia ya stima yote hio ya $2.5B , kumbuka hio kampuni ni multinational company, wanauwezo wa kuenda kwa international court of arbitration na kulazimu serikali ya TZ kuwalipa fidia ya stima walio generate hata kama hamkua na uwezo wa kuutumia wote, na serekali ikikataa basi mtafanywa vile mlivyo fanywa na ile bombardier yenu.. mkinunua kitu huko nje, kinazuiliwa na kupigwa auction juu kwa juu.
hapo kwa hio habari umeona hapo wanasema.....
The only project outside this limited framework is the 310-megawatt Lake Turkana Wind Power in northern Kenya, which was built at a cost of Sh70 billion. But despite being completed the electricity is not used due to lack of a transmission line, subjecting consumers to a Sh5.7 billion fine.
--------
Hio kampuni ya turkana wind farm ili demand kulipwa bill ya stima $57Million ambayo serikali ilishindwa kusambaza kwa wateja...... Alafu kama ilivyo kenya, badala ya serikali kupitia kenya power kulipa hio bill, Kenya power walichukua hilo deni na kulisambaza kwa kodi ya stima kwa wateja wa kawaida na kusababisha bei ya stima kupanda hata baada ya kuongeza generation capacity
basi hio kampuni iliokimbia Kenya inalazima wajenge 600MW kwa mpigo mmoja tena serekali iwape guarantee kwamba tutanunua hio stima ....kumbuka tayari tumeshapiga dili na kampuni nyengine kujenga hadi 1000MW za solar hapa kenya ambayo itajengwa in small phases kulingana na projected demand hadi eneo hilo hilo la malindiKama nilivyosema, uncle Magu yupo vizuri sana, tena sana katika maeneo ya kusimamia maslahi ya Taifa, tatizo lake ni kuminya uhuru wa kisiasa na kujieleza, lakini huko kwengine yupo vizuri sana, hiyo uliyosema inaitwa capacity charge, ambayo unalipa hata kama mitambo haizalishi umeme, ndiyo inayotutesa tulipowatafuta IPTL zaidi ya miaka kumi iliyopita tulipokua na mgao mkubwa wa umeme, katika kitu kimojawapo kinachomfanya asipate usingizi ni hiyo capacity charge, hawezi kurudia hilo kosa, by the way kwa sasa hivi hatuna tatizo kubwa la umeme, na hivi tunajenga umeme wa maji wa 2100MW, the cheapest source of electricity, sioni kama serikali itakuwa kwenye pressure ya mradi wa umeme wa private kwa sasa
SGR inakuja nanitahitaji umeme mwingi sana, pia umeme ni gharama sana kwa Tanzania, ni wachache sana wanaotumia majikomya umeme kupikia, power ikiwa nyngi na bei itashuka tuKama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
Sasa kama walishindwa kufikia makubaliano na viongozi wa Kenya ambao kwa ujumla they are not strong negotiators ukilinganisha na uncle Magu, wataweza kweli huku?, kumbuka ujumbe wa Barick Gold mine mazungumzo yanaendelea huu ni mwezi wa tatu sasa, Magufuli sio mchezo, waache waje wakutane na kisiki cha mpingobasi hio kampuni iliokimbia Kenya inalazima wajenge 600MW kwa mpigo mmoja tena serekali iwape guarantee kwamba tutanunua hio stima ....kumbuka tayari tumeshapiga dili na kampuni nyengine kujenga hadi 1000MW za solar hapa kenya ambayo itajengwa hadi eneo hilo hilo la malindi
Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania
WEDNESDAY, OCTOBER 11, 2017 6:38
BY NEVILLE OTUKI
![]()
A Swedish firm that wanted to construct Africa’s largest wind power plant in Malindi at a cost of Sh253 billion has relocated the investment to Tanzania, citing frustration by Kenyan authorities.
VR Holding AB had last year expressed interest in building a 600-megawatt (MW) wind farm in the Indian Ocean waters bordering Ras Ngomeni in Malindi, but Ministry of Energy officials turned down the request citing lack of a framework for renewable energy projects of that scale besides low demand for electricity in the country.
The firm’s executives said they have now switched their focus to Tanzania, which shares the Indian Ocean coastline.
“We have opted to look at offshore solutions for Tanzania,” Victoria Rikede, an executive at the company said.
“Kenya is proving to be a very difficult place and besides the grid is too weak to absorb all the power produced and therefore mini-grids is the solution for now,” she added.
Kenya, East Africa’s largest economy, has recently been losing mega investments to Tanzania, including a crude pipeline deal with Uganda.
Tuesday, Ministry of Energy officials reckoned that a huge power plant would leave the country with excess power that will only force consumers to pay billions of shillings annually for electricity not used.
This would dim the government’s quest to deliver cheaper power through renewable sources.
Documents seen by the Business Daily show that Kenyan authorities, upon receiving the application, had directed the Swedish company to construct a smaller capacity project. “The company was to give us a proposal for a smaller capacity plant of 50 megawatts. They are yet to do so,” said Isaac Kiva, the director of renewable energy at the ministry.
The Malindi offshore location was identified by the World Bank, according to the Swedish firm’s executives.
They put the cost of generating electricity from the offshore wind farm at €3.5 million (Sh423 million) per megawatt.
This means the 600 megawatt offshore wind park would cost a total of Sh253.8 billion, in what would be the single most expensive private-funded project in East Africa.
Ms Rikede, however, did not wish to disclose the consortium behind the inconclusive venture. In rejecting the mega power plant, the ministry vouched for a phased implementation that brings power on stream gradually, in tandem with growth in demand.
“Wind is an intermittent power source and, therefore, we cannot approve such a big plant in one location since it will come with huge costs tied to power supply reliability and transmission,” Mr Kiva had said earlier.
Kenya’s renewable energy framework provides only for small and medium-sized projects under the feed-in-tariff (FiT) system, which fixes electricity prices for wind and solar projects of up to a capacity of 50 megawatts.
The only project outside this limited framework is the 310-megawatt Lake Turkana Wind Power in northern Kenya, which was built at a cost of Sh70 billion. But despite being completed the electricity is not used due to lack of a transmission line, subjecting consumers to a Sh5.7 billion fine.
A similar capacity offshore wind farm would have cost Sh131 billion, or Sh61 billion more based on the €3.5 million per MW cost , making the offshore technology more expensive than on land.
Offshore wind farms are deemed more reliable than those built on land since breezes in the ocean can produce steadier power. Kenya has an installed power capacity of 2,330 megawatts but its peak demand is about 1,699 megawatts, leaving a reserve capacity of 631 megawatts.
Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania
MY TAKE
Polepole tunanyakua miradi tulianza pipeline sasa tumenyaka windpower project under Keter's nose! Next thing is to force oil in Lokichar be connected via Hoima-Tanga pipeline. [emoji115] [emoji23]
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Lamu, Malindi to host 1,000MW power plantplanned Sh220 billion investment in solar power will be spread across various counties in Kenya.
The solar power plant, which will be developed in four phases over the next four years, will be hosted in sites such as Lamu, Malindi, Kajiado, Kisumu, Kakamega and Baringo.
This follows Sunday's signing of an agreement between the ministry of energy, represented by Principal Secretary Joseph Njoroge, and SkyPower President and Chief Executive Kerry Adler to construct 1,000MW solar plants in different parts of the country.
“This is private investment modelled on the build, own, operate. Normally we give treaties for about 20 years,” Mr Njoroge said.
SkyPower has a long history of working closely with local communities to produce hundreds of millions of kilowatt-hours of clean electricity every year,” said Mr Adler.
Wacha sie wenye kuuhitaji tuuchukue maana wamesema tuna superior grid connection. Kumbukeni mmeshindwa kujenga electrical SGR.Tayari tulisha sign dili ya $2.2B 1000MW solar power plant ambayo itajengwa pole pole in 4 phases eneo hilo hilo, tena tukaongeza mkataba wa kujenga another $2.2B 1000MW solar power plant nyengine in future kama kutakua na demand https://cleantechnica.com/2015/09/29/skypower-double-solar-power-investment-kenya-4-4-billion/
Sasa hii kampuni inalazima tungie mkataba mwengine $2.53B 600MW wind farm, tumewaambiia kwa sasa tuna uwezo wa kukubali kununua 50MW kwa mpigo lakini hawataki wanataka watulazimishe kununua 600MW.... hapo hamjanyakua chochote..
Lamu, Malindi to host 1,000MW power plant
The Ministry of Energy has signed a Sh220 billion ($2.2 billion) deal with an American firm for the development of solar power in Kenya.
The agreement with SkyPower was signed during the sixth Global Entrepreneurship Summit that ended Sunday at Gigiri, Nairobi. SkyPower is one of the largest developers and operators of utility-scale solar photovoltaic (PV) energy projects.
Kerry Adler, the SkyPower president and chief executive officer, said his company intends to develop world-class solar projects in Kenya to be built in four phases over the next five years.
He said the project will include fabrication and assembly plants. Approximately Sh17.5 billion ($173 million) will go towards educating, training, research and development.
Electrification goals
“Kenya has become an African hub for innovation and entrepreneurship and SkyPower is proud to contribute to this unprecedented milestone in Kenya’s ambitious renewable energy programme,” Mr Adler said while making the disclosure at the GES.
He said the projects will help Kenya to realise its electrification goals and support development of renewable energy.
Mr Adler estimated that the investment will create more than 25,000 jobs in Kenya.
SkyPower executive vice president Charles Cohen said the company works with communities to ensure that those closest to the developments reap the rewards of new jobs, education, skills training and accessible energy.
BAK umesoma hapo miradi wawekezaji Genuine watakuja Tanzania na wale fake watalala mbele
Huyo BAK yeye huwaga anacomplain tu, hii ni habari mbaya sana kwake.
kumbuka serikali inasambaza umeme vijijini, kuna viwanda vinafufuliwa na vingine kujengwa, kuna treni za umeme zinajengwa n.kKama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
Amid political crisis, economy faces downturnTayari tulisha sign dili ya $2.2B 1000MW solar power plant ambayo itajengwa pole pole in 4 phases eneo hilo hilo, tena tukaongeza mkataba wa kujenga another $2.2B 1000MW solar power plant nyengine in future kama kutakua na demand https://cleantechnica.com/2015/09/29/skypower-double-solar-power-investment-kenya-4-4-billion/
Sasa hii kampuni inalazima tungie mkataba mwengine $2.53B 600MW wind farm, tumewaambiia kwa sasa tuna uwezo wa kukubali kununua 50MW kwa mpigo lakini hawataki wanataka watulazimishe kununua 600MW.... hapo hamjanyakua chochote..
Lamu, Malindi to host 1,000MW power plant
The Ministry of Energy has signed a Sh220 billion ($2.2 billion) deal with an American firm for the development of solar power in Kenya.
The agreement with SkyPower was signed during the sixth Global Entrepreneurship Summit that ended Sunday at Gigiri, Nairobi. SkyPower is one of the largest developers and operators of utility-scale solar photovoltaic (PV) energy projects.
Kerry Adler, the SkyPower president and chief executive officer, said his company intends to develop world-class solar projects in Kenya to be built in four phases over the next five years.
He said the project will include fabrication and assembly plants. Approximately Sh17.5 billion ($173 million) will go towards educating, training, research and development.
Electrification goals
“Kenya has become an African hub for innovation and entrepreneurship and SkyPower is proud to contribute to this unprecedented milestone in Kenya’s ambitious renewable energy programme,” Mr Adler said while making the disclosure at the GES.
He said the projects will help Kenya to realise its electrification goals and support development of renewable energy.
Mr Adler estimated that the investment will create more than 25,000 jobs in Kenya.
SkyPower executive vice president Charles Cohen said the company works with communities to ensure that those closest to the developments reap the rewards of new jobs, education, skills training and accessible energy.