Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Kaazi kweli kweli!
Ndo maana mimi naita “The banana republic of Danganyika”. Vichwa kama vyenu ndo vimetamalaki.
Unaweza kuta hujui hata maana ya neno “rasilimali”, achilia mbali kufahamu maana ya “rasilimali za Taifa”
Ok, let’s say ni kweli kuna “mkataba” Lowassa kujiunga chadema. Akili zako zinakwambia mkataba huo ni sawa na mkataba wenye kuhusisha maslahi ya nchi.
We hustahili kutukanwa, itakuwa uonevu kabisa.
Lowassa alikuwa anagombea uraisi, unapompitisha mtu kienyejienyeji kuja kusimamia rasilimali za taifa ni hatari,.