Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

Kaazi kweli kweli!

Ndo maana mimi naita “The banana republic of Danganyika”. Vichwa kama vyenu ndo vimetamalaki.

Unaweza kuta hujui hata maana ya neno “rasilimali”, achilia mbali kufahamu maana ya “rasilimali za Taifa”

Ok, let’s say ni kweli kuna “mkataba” Lowassa kujiunga chadema. Akili zako zinakwambia mkataba huo ni sawa na mkataba wenye kuhusisha maslahi ya nchi.

We hustahili kutukanwa, itakuwa uonevu kabisa.

Lowassa alikuwa anagombea uraisi, unapompitisha mtu kienyejienyeji kuja kusimamia rasilimali za taifa ni hatari,.
 
Lowassa alikuwa anagombea uraisi, unapompitisha mtu kienyejienyeji kuja kusimamia rasilimali za taifa ni hatari,.
Ukipitishwa kuwa mgombea wa chadema ndo kuwa rais?

Rasilimali za Taifa zimewekwa hatarini na nani zaidi ya ccm? Akili kumkichwa
 
Mkuu Umeme wetu bado ni Kiduchu sana, S.Africa wanagenerate 40000MW na bado wanamgao wa umeme, kumbuka populatuon ya SA na Tz hazitofautiani sana, leo sisi ndio tunajitutumua Kufika 5000MW 2020,
Bado tuna safari ndefu mno. Tunahitaji wawekezaji kama hawa wengi zaidi kwenye umeme ili tufikie angalau MW 10000 ili kushusha gharama za Umeme na kuvutia wawekezaji wa Viwanda.
Kweli kabisa. Isa S.A kutumia umeme unaosukumwa kwa nguvu/power kubwa kiasi hicho ni kwakuwa wanaviwanda vingi sana na vikubwa vya kuyayushia dutu na misombo mbalimbali kwaajili ya kuunda magari, treni nk. Pia Sgr.
Ikifika muda nasi itatulazimu tupate umeme mkubwa kama dhamila ya kuwa nchi ya viwanda ikikamilika.

Ila mwenendo sio mbaya, tutakamilisha tu adhma yetu.
 
Kawaida yenu Watz, Your version of overtaking Kenya is to pray that Kenya falls .... Unlike Wakenya, they will want their opponent to have no problems , to be on their best performance of all time, so that when they defeat them it will because we are better than you
Kwanza siamini katika maombi, pili sio mtu wa kuamini kwenye overtake au ushindani wa kijinga, mimi ninafuatilia na kujaribu kufanya analysis ya hali ilivyo katika nchi zetu, kipindi cha Kikwete nilikua mkosoaji mkubwa sana wa utawala wake. Kitu kinachowasumbua wakenya wengi ni kupenda kuangalia mambo kiushabiki zaidi na kupenda sifa sana hata kama analala njaa, huu ujinga japo Tanzania upo lakini Kenya umezidi sana, kwa hapa EA, Kenya inaongoza kwa sifa za kijinga.

Mimi nimekuwekea hiyo article iliyoandikwa na mkenya kuonyesha madhara ya siasa za Kenya katika uchumi, na Dr. David Ndii amekuwa akilisema hili na kuandika kwenye gazeti hili hili, lakini badala ya watu kuangalia nini anachoandika, wakenya wengi walikua wakimshambulia na kuonyesha kwamba kila kitu kinaenda sawa.

Mimi nilitegemea unipe views zako juu ya hii habari kama ni kweli au anatudangaya, wewe unaleta habari za kuovertake na kushindanisha nchi, kwani Kenya ilipojenga uchumi wake ilifanya hivyo kwa kuombewa, si zilikua juhudi za wakenya ndiyo zilifanikisha hilo?, sasa hivi Kenya inaporomoka usitafute mchawi, wachawi ni nyie wenyewe badala ya kukubali mapungufu yenu ili muyarekebishe mapema, hamtaki badala yake mumeshikilia sifa na majigambo yasiyokua na faida yoyote, look now everything is going bad out of control, and neighbors and friend are looking at you from far because they know your arrogance
 
Magu amesema kila anayekuja kuwekeza kwenye umeme aje kivyake kufanya biashara, kama vile kufungua supermarket hakuna tena mikataba na serikali kuwapa gerentii ya kuununua umeme. Chini ya Magufuli uchumi upo kwenye mikono salama, tupiganie awe mdemokrasia zaidi, huko ndiko anatetereka
Mkuu umeongea vizuri sana,me naona shida ya mkuu wetu wa nchi ni kutoweka wazi democracy tu ila maeneo mengine yuko vizuri.
 
Ni jambo jema kuongeza kiasi cha umeme kwan pindi kiwanda cha kuchenjua chuma liganga uytahitajika umeme kias ikubwa jpm akubali huo mradi
 
Hatukunyakua bali ameona kenya hatapata manufaa aliyotegemea katika kuwekeza na mahali ambapo atapata faida ni Tanzania na miundo mbinu ya kuusafirisha umeme haipo kwa kenya.msipokuwa makini mtatulaumu.
 
Tanzania hatuwahitaji kabisaaaaa... Sbb we are constructing a big 2,100MW hydro-powerplant at Stiegler's Gorge dam right now tuko katika hatua za ujenzi.. Fedha zipo.. So waambieni hatuwahitaji wakatafute kwingine.. Plz tell them in advance..!!
 
Back
Top Bottom