Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

Only time will tell, kama ni genuine kuwepo na transparency ya mkataba husika ili kujua hizo details. Hata wachina wanaojenga bandari pale Bagamoyo kwa baadhi unaweza kabisa kuonekana ni genuine lakini ukzijua details kwa jinsi tulivyopigwa unajua ni WIZI MTUPU!

Wapeleke hizo details Bungeni Wabunge wakazijadili kwa kina hapo ndiyo tutajua kama una maslahi kwa Watanzania au ni IPTL nyingine,
Mkuu soma vizuri hawa wawekezaji wanaondoka Kenya baada ya kuona wanakwazwa kwa ufisadi ndio maana wamekuja kuwekeza hapa Tanzania wakijua uongozi wa sasa sio wa kifisadi
 
Hebu soma nilichoandika badala ya kukurupuka.

Pesa ni zao na mradi wanaweka wao sasa ulitaka waje Chadema kuomba kuwekeza. Be smart usikurupukeeee.
 
Dah! Kwa hiyo kama ni pesa zao basi ndiyo hatustahili kujua details husika!? Peleka hii pumba mtaa wa lumumba.

Pesa ni zao na mradi wanaweka wao sasa ulitaka waje Chadema kuomba kuwekeza. Be smart usikurupukeeee.
 
Pesa ni zao na mradi wanaweka wao sasa ulitaka waje Chadema kuomba kuwekeza. Be smart usikurupukeeee.
Nadhani hujamuelewa BAK vyema. Sijaona akisema waende chadema kuomba chochote.

Anasema hata wakija huku na pesa zao, kinachotakiwa ni transparency kwenye mkataba. Kwamba ijadiliwe kwa uwazi bungeni nk.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu yaani bandiko langu liko wazi kabisa! Nimetumia Kiswahili si kihindi wala kichina lakini bado mtu anataka kuleta ligi!

Nadhani hujamuelewa BAK vyema. Sijaona akisema waende chadema kuomba chochote.

Anasema hata wakija huku na pesa zao, kinachotakiwa ni transparency kwenye mkataba. Kwamba ijadiliwe kwa uwazi bungeni nk.
 
Hawezi kufurahia kamwe huyo jamaa maana anachopigania yeye siyo ushauri wake ukifanyiwa kazi bali kuona Tanzania chini ya Magufuli ikifeli tu basi. Ni wa kuwaonea huruma wote hao.
Sidhani kama analysis yako ni sahihi
 
Only time will tell, kama ni genuine kuwepo na transparency ya mkataba husika ili kujua hizo details. Hata wachina wanaojenga bandari pale Bagamoyo kwa baadhi unaweza kabisa kuonekana ni genuine lakini ukizijua details kwa jinsi tulivyopigwa unajua ni WIZI MTUPU!

Wapeleke hizo details Bungeni Wabunge wakazijadili kwa kina hapo ndiyo tutajua kama una maslahi kwa Watanzania au ni IPTL nyingine,

Mimi nadhani na kulingana na constitutional/administrative law bunge kujadili details za projects na draft contract siyo sahihi. kwa maana hiyo si kazi ya bunge. bunge kazi yake ni ktunga sheria na kuisimamia serikali. kama bunge litaanza kufanya kazi za executive au serikali kutakuwa hakuna checks and balances. je ikitokea ule mradi haukufanya vizuri bunge linawezaje kuiwajibisha serikali wakati nalo ilikuwa sehemu ya kuchunguza mradi??
 
Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

WEDNESDAY, OCTOBER 11, 2017 6:38

BY NEVILLE OTUKI

keter.jpg

A Swedish firm that wanted to construct Africa’s largest wind power plant in Malindi at a cost of Sh253 billion has relocated the investment to Tanzania, citing frustration by Kenyan authorities.

VR Holding AB had last year expressed interest in building a 600-megawatt (MW) wind farm in the Indian Ocean waters bordering Ras Ngomeni in Malindi, but Ministry of Energy officials turned down the request citing lack of a framework for renewable energy projects of that scale besides low demand for electricity in the country.

The firm’s executives said they have now switched their focus to Tanzania, which shares the Indian Ocean coastline.

“We have opted to look at offshore solutions for Tanzania,” Victoria Rikede, an executive at the company said.

“Kenya is proving to be a very difficult place and besides the grid is too weak to absorb all the power produced and therefore mini-grids is the solution for now,” she added.

Kenya, East Africa’s largest economy, has recently been losing mega investments to Tanzania, including a crude pipeline deal with Uganda.

Tuesday, Ministry of Energy officials reckoned that a huge power plant would leave the country with excess power that will only force consumers to pay billions of shillings annually for electricity not used.

This would dim the government’s quest to deliver cheaper power through renewable sources.

Documents seen by the Business Daily show that Kenyan authorities, upon receiving the application, had directed the Swedish company to construct a smaller capacity project. “The company was to give us a proposal for a smaller capacity plant of 50 megawatts. They are yet to do so,” said Isaac Kiva, the director of renewable energy at the ministry.

The Malindi offshore location was identified by the World Bank, according to the Swedish firm’s executives.

They put the cost of generating electricity from the offshore wind farm at €3.5 million (Sh423 million) per megawatt.

This means the 600 megawatt offshore wind park would cost a total of Sh253.8 billion, in what would be the single most expensive private-funded project in East Africa.

Ms Rikede, however, did not wish to disclose the consortium behind the inconclusive venture. In rejecting the mega power plant, the ministry vouched for a phased implementation that brings power on stream gradually, in tandem with growth in demand.

“Wind is an intermittent power source and, therefore, we cannot approve such a big plant in one location since it will come with huge costs tied to power supply reliability and transmission,” Mr Kiva had said earlier.

Kenya’s renewable energy framework provides only for small and medium-sized projects under the feed-in-tariff (FiT) system, which fixes electricity prices for wind and solar projects of up to a capacity of 50 megawatts.

The only project outside this limited framework is the 310-megawatt Lake Turkana Wind Power in northern Kenya, which was built at a cost of Sh70 billion. But despite being completed the electricity is not used due to lack of a transmission line, subjecting consumers to a Sh5.7 billion fine.

A similar capacity offshore wind farm would have cost Sh131 billion, or Sh61 billion more based on the €3.5 million per MW cost , making the offshore technology more expensive than on land.

Offshore wind farms are deemed more reliable than those built on land since breezes in the ocean can produce steadier power. Kenya has an installed power capacity of 2,330 megawatts but its peak demand is about 1,699 megawatts, leaving a reserve capacity of 631 megawatts.

Swedish firm moves Sh253bn Malindi power plan to Tanzania

MY TAKE
Polepole tunanyakua miradi tulianza pipeline sasa tumenyaka windpower project under Keter's nose! Next thing is to force oil in Lokichar be connected via Hoima-Tanga pipeline. [emoji115] [emoji23]

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

Hawa ndio,wawekezaji sio wale wachumaji ambao hawataki tugawane sawa kwa sawa, yaani tupate kilicho halali yetu. Kwanza analeta pesa yake halafu huduma ni Hapa nchini kwa faida yetu na nchi yetu. Yuko wapi yule aliyesema "wawekezaji wanakimbiaaaaaah" Leo wamekuja wageni kutoka kwa Trump. JPM kwa wanaojua huko juu yupo sahihi ndio maana wanakuja. Mvumilivu hula mbivu.
 
Nadhani hujamuelewa BAK vyema. Sijaona akisema waende chadema kuomba chochote.

Anasema hata wakija huku na pesa zao, kinachotakiwa ni transparency kwenye mkataba. Kwamba ijadiliwe kwa uwazi bungeni nk.
Mktaba wa Lowassa na Mbowe kugombea urais mwaka 2015 ulijadiliwa na nani?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Scandinavia countries are not wakora. tutafanya nao kazi vizuri. lkn Chinese ni noma sana.
 
Kama kuna mpango wa kujenga Stiglers dam,megawatts 2100 hiyo ya wind ya kazi gani,nani wataconsume UMEME wote huo?
Mkuu Umeme wetu bado ni Kiduchu sana, S.Africa wanagenerate 40000MW na bado wanamgao wa umeme, kumbuka populatuon ya SA na Tz hazitofautiani sana, leo sisi ndio tunajitutumua Kufika 5000MW 2020,
Bado tuna safari ndefu mno. Tunahitaji wawekezaji kama hawa wengi zaidi kwenye umeme ili tufikie angalau MW 10000 ili kushusha gharama za Umeme na kuvutia wawekezaji wa Viwanda.
 
Tatzo la Kenya 10% na msweden/scandnavian Country and Japan hawapend ten percent kwenye miradi yao I. E KONOIKE etc ndio maana ata SGR gharama za Kenya ni mara 2 ya mradi wa Tanzania per kilometre
 
Mktaba wa Lowassa na Mbowe kugombea urais mwaka 2015 ulijadiliwa na nani?
Kaazi kweli kweli!

Ndo maana mimi naita “The banana republic of Danganyika”. Vichwa kama vyenu ndo vimetamalaki.

Unaweza kuta hujui hata maana ya neno “rasilimali”, achilia mbali kufahamu maana ya “rasilimali za Taifa”

Ok, let’s say ni kweli kuna “mkataba” Lowassa kujiunga chadema. Akili zako zinakwambia mkataba huo ni sawa na mkataba wenye kuhusisha maslahi ya nchi.

We hustahili kutukanwa, itakuwa uonevu kabisa.
 
Kuwaachia wahuni na mafisadi wasaini mikataba kwa siri ndiyo kumetuletea IPTL, ESCROW, BOTI UOZO, mikataba ya kifisadi ya dhahabu, gesi, uranium, RADA, ununuzi wa mapanga boi toka Canada, bomba la mafuta Mtwara Dar, Bandari ya Bagamoyo etc.

Ushahidi huo ni tosha kabisa wa kuhakikisha kwamba hawa wahuni na mafisadi hawastahili kuaminiwa kwenye kuingia mikataba bila mikataba hiyo kujadiliwa bungeni kwa kina. Kulishirikisha Bunge itapunguza huo uhuni hawa mafisadi.

Katika huo ufisadi hapo juu Bunge limemuwajibisha mhusika yupi na ufisadi wowote hapo juu!?

Mimi nadhani na kulingana na constitutional/administrative law bunge kujadili details za projects na draft contract siyo sahihi. kwa maana hiyo si kazi ya bunge. bunge kazi yake ni ktunga sheria na kuisimamia serikali. kama bunge litaanza kufanya kazi za executive au serikali kutakuwa hakuna checks and balances. je ikitokea ule mradi haukufanya vizuri bunge linawezaje kuiwajibisha serikali wakati nalo ilikuwa sehemu ya kuchunguza mradi??
 
Anamatatizo huyo, wala hajui kitu chochote, eti hadi leo hajui kwamba pesa ya SGR imetolewa na serikali, anasema imetolewa na Uturuki, sasa kuna mtu hapo kweli?
Huyu BAK ni kilaza fulani ambaye ameishi miaka mingi hapa jamvini, lakini cha ajabu kila kukicha akili zake ndio zinazidi kuganda tu.
 
Back
Top Bottom