Sweetie niPM tukale bata

hii thread nayo ipo MMU? Mods mmelala? tajiri Mutoto hizo bata unazotaka kwenda kula na wana JF hebu changia hiyo pesa Jamii Forums ile uendelee kuleta tambo zako na sifa zako za kitoto, JF inaendeshwa na pesa na michango ya members ndio unayoifanya JF iwe hewani
 
Last edited by a moderator:

Twende tukale bata wewe Manyanza acha kumwaga shombo humu, au kwakuwa we Premium na verified ndo unajiona na we Mode?
 
Last edited by a moderator:
jamaa akitajiwa baadhi ya sehemu aende akachukue hao anaowataka mfano "casino" hataki....hivi unaamini humu hamna watu wabaya (machangudoa), nakuonea huruma coz hivi SASA washagundua soko lipo internet hvyo basi wanaojiuza, wasagaji n.k wapo facebuk, jf na mitandao mingine...TRUST NOTHING, SUSPECT EVRYTHNG
 
Twende tukale bata wewe Manyanza acha kumwaga shombo humu, au kwakuwa we Premium na verified ndo unajiona na we Mode?

Ukale bata na nani, mimi naona unatangaza njaa na unatafuta umaarufu kunuka humu ndani, watu humu hatutafuti umaarufu wa kujisifia na tambo za kipuuzi kama za kwako, late hoja na michango yenye ustawi kwa maendeleo ya taifa utaheshimika.... hapa The Home of Great Thinker, sio mahali pa vilaza kama wewe
 
Manyanza, michango yako ya ustawi wa jamii peleka jukwaa la siasa, humu ni malavidavi hamna stress full kujiachia. Wewe inaonekana ni dhaifu kama raisi wako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…