georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Easy, dogo. Just kidding.Ahahaha, ntakuja georgeallen, ila sina ubia na grid ya Taifa, ahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Easy, dogo. Just kidding.Ahahaha, ntakuja georgeallen, ila sina ubia na grid ya Taifa, ahahaha
kwa hivyo wale offsidetrick walivyomuimba bata walikuwa wanakusudia nini? mimi nilihisi wanasifia mademu na makalio yao!!!!
TajiriMutoto ,na asiwe wa mizinga maana yake nini?
Asipige pige vibomu au sindano zisizo na mpango.
Sasa kwa wale wanaopiga kwa ajili ya diabetic, inakuwaje?
Khaaaaa, kweli kiswahili kigumu. Kwa lugha rahisi asiwe anaomba omba hela kila dakika
hii thread nayo ipo MMU? Mods mmelala? tajiri Mutoto hizo bata unazotaka kwenda kula na wana JF hebu changia hiyo pesa Jamii Forums ile uendelee kuleta tambo zako na sifa zako za kitoto, JF inaendeshwa na pesa na michango ya members ndio unayoifanya JF iwe hewani
Twende tukale bata wewe Manyanza acha kumwaga shombo humu, au kwakuwa we Premium na verified ndo unajiona na we Mode?
Manyanza, michango yako ya ustawi wa jamii peleka jukwaa la siasa, humu ni malavidavi hamna stress full kujiachia. Wewe inaonekana ni dhaifu kama raisi wakoUkale bata na nani, mimi naona unatangaza njaa na unatafuta umaarufu kunuka humu ndani, watu humu hatutafuti umaarufu wa kujisifia na tambo za kipuuzi kama za kwako, late hoja na michango yenye ustawi kwa maendeleo ya taifa utaheshimika.... hapa The Home of Great Thinker, sio mahali pa vilaza kama wewe