King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
- Thread starter
-
- #21
Kuna la kujifunza sana kwenye ajali ya CHIVAYO.Umeongea vyema. Jamaa mmoja akipanda kwenye chombo cha usafiri pamoja na makapuku roho yake mkononi, akipanda na watu maarafu anarelax akiamini hakuna kitakachotokea. Sasa Ile ajali ya yule jamaa wa Zimbabwe imenifikirisha sana...
Tusambaze ujumbe sana ili elimu iwafikie VICHWA MAJI ,wanakatisha ndoto za watoto wao kwa ULIMBUKENI wao!Asante Kwa elimu nzuri ya Usalama majumbani. Blessed 🙏
Mno!Kuna la kujifunza sana kwenye ajali ya CHIVAYO.
Nadhani watu wanakosa elimu ya swimming pool ,ilitakiwa kabla ya kujenga macontractor wawashauri vizuri maBOSS ,ni kama ukitaka kujenga jengo unapeleka ramani ili mipango miji waone kama umefuata vigezo ,kuna escaping door ,assembly area ,mifumo ya maji taka n.k Watu wanajenga kwa SHOWOFF tu ili watu waseme jamaa ana bonge la jumba lina swimming Pool.....Na pia kama ukipeleka ramani halmashauri unajenga na swimming pool basi inabidi wakaguzi waje kuangalia kama umeiweka vizuri kwa usalama wa watoto na watumiaji.Hata kwa wazungu, swimming pool huwa zinachangia sana vifo vya watoto wadogo...
Duh! Salome amefiwa na mtoto? Jamani, amehangaika sana kupata huyo mtoto.
🥹
Safi ,utapata nondoz za kutosha kuhusu mambo ya swimming pool.Niko nacheki shoo yangu hapa insane pool ,with deeply end hapa Discovery family
SanaSafi ,utapata nondoz za kutosha kuhusu mambo ya swimming pool.
Aiseee! Pole yake sana.