kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
Kipato cha chini... ila IST nimeweza kuimudu vyema service & maitanance.
IST ndo gari yangu ya kwanza kumiliki, ni mwaka mmoja sasa. Napenda speed, and stability matters a lot!! Ni mtu wa long trips mara kwa mara. IST NCP61 cc 1490 kwa town trips ni full enjoyment, ila kwa masafa marefu hizi baby walker za mjapan ni nyepesi kama karatasi. At speed 150Km/h tu ni roho juu, ukipishana na lori unafeel kabisa kanapepesuka na upepo!!
Nawish kuhamia kwa baby walker ya mjerumani... mnyama VW polo ama VW golf, yenye ingine size max cc 1500. Nasikia baby walker za mjerumani ni nzito stability ya kutosha.
Je, nitaweza imudu? Ama nitapata taabu sana? Kipato changu ni moderately low.
Mafundi wa hizi gereji zetu za uswazini wanadiscourage sana magari ya Ulaya, wanasema spea zake na service ni pasua kichwa in terms of expensiveness!