Switching from Toyota IST to VW polo/golf... Ushauri wako please

Bora tubaki kwenye Passo, Piston 3. Vipi Xtrail Nini maoni yako?
Uoga huu nduguu Yangu, sometimes Kwenye maisha yenu tusiwe waoga kiasi hiki unaweza kununua Passo eti Kwa sababu ya kubana mafuta lkn bado ukapata nayo shida Kwenye ubovu kila baada ya mwezi mmoja ni Bora ununue chuma ya ukweli ukadumu nayo Kwa miezi 8 haujaingia garage
 
Chuma Cha ukweli Ni Kama gari gani?
 
you are not serious bro! umetumia vigezo gani mpaka kuziweka kwenye kundi moja? Subaru inaizidi toyota kwa vitu vingi tu labda ulaji wa mafuta na bei za spare.
Kwenye upande wa Speed mkuu SUBARU IMPREZA Ina speed 180 ni Sawa na hizo Gari za jamii ya Ist tu.
 
Kwahyo umeiweka kwenye kundi moja kwa sababu ya speed tuu!?
Anyway sijakataa mkuu ndio mana nikasema inaizidi vitu vingi ila sio vyote.

Ila
1. bado impreza anawin kwenye kuwahi kufika hiyo speed ya 180 unayoizungumzia before ist.

2. Lakini pia unapozungumzia speed kumbuka na stability ya gari, kwenye speed hiyo unayosema impreza inatulia as if upo kwenye speed ya kawaida tu huwez kulinganisha na ist ikiwa kwenye the same speed(haipo stable compared to impreza).

So still impreza huwezi kuifananisha na hizo gari mkuu.....bado hapo hujaangalia space, durability, comfort uwezo wa kupita maeneo korofi nk....
 
Residual income ipo? Walau uwe na Spare ya 800K kila mwezi.

Duh! Bado sina hiyo income ya kutenga Tsh 800,000 kila mwezi just for car service only!

Ila mnyama VW polo ananikosha sana moyoni.

Ni mtu wa long trips sana mara kwa mara. For speed, stability, and comfort, VW Polo ndiyo solution kwangu in baby walker category.

Wacha niendelee kuzisaka. One day YES... nitajilipua tu nachukua VW Polo bila kuogopa gharama za kuimaintain.

Hizi baby walker za mjepu ni shida tu. Una trip ya KM 900+, unatumia kutwa nzima or usiku mzima upo road tu, unafika mgongo na kiuno vipo hoi... Stability zero, comfortability zero!

Heshima kwake mjerumani. Mikebe yao ni next level.
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Niko Na Ka Ractis... Kinachoniboa Nashindwa Kwenda Kumsalimia Mama Shambani Kako Chini Sanaa...

Lakini Ni Chombo Cha Kuuzia Mjini Hapa

Baby walker za mjapan ni kwaajili ya misele ya town tu.
 
Back
Top Bottom