Switching from Toyota IST to VW polo/golf... Ushauri wako please

Switching from Toyota IST to VW polo/golf... Ushauri wako please

Nimeishiwa pozi....hata mimi natamani sana mjerumani ila shekeli hazichangiki na uchumi huu wa kati

Mie pia kwa sasa nawaza sana mkebe wa mjerumani.

Nilitaka kuchukua VW Polo, ila maoni ya wadau yamenifunga breki. Nikizipata!!
 
Chukua gari hiyo kaka au golf .6 l
Ukishindwa chukua subaru impreza

Mkuu kuna uzi fulani niliona comment yako kwamba uliuza VW Polo ukahamia Toyota IST. Ni sahihi? Tupe uzoefu wako, why uliamua kuikacha VW?
 
Back
Top Bottom