Sylivia Mulinge shouldn't be allowed to work in Tanzania, Hire a Tanzanian Instead.

Hehehehe hadi huruma, ina maana nchi yote hiyo watu zaidi ya milioni 55 hakuna mwenye sifa za kuweza kuongoza kampuni kama hiyo, mjitafakari sana kama taifa, mnafaa kuwa na mdahalo wa kitaifa ili kubaini wapi huwa pameharibika, maana makampuni yenu yenyewe ndio yanasisitiza kuwafuata wageni hususan Wakenya.

Serikali yenu japo inajaribu kila mbinu za kuwalinda dhidi ya ushindani wa Wakenya, lakini wenyewe mfikie hatua ya kujitathmini, kujituma na kujiongeza maana sijui mtalindwa hadi lini.
Hapo kwenu nani CEO wa Safaricom? Unless u prove to me there has never been a Tanzanian CEO at Vodacom before u r irrelevant.
 
Hehehehe hadi huruma, ina maana nchi yote hiyo watu zaidi ya milioni 55 hakuna mwenye sifa za kuweza kuongoza kampuni kama hiyo, mjitafakari sana kama taifa, mnafaa kuwa na mdahalo wa kitaifa ili kubaini wapi huwa pameharibika, maana makampuni yenu yenyewe ndio yanasisitiza kuwafuata wageni hususan Wakenya.

Serikali yenu japo inajaribu kila mbinu za kuwalinda dhidi ya ushindani wa Wakenya, lakini wenyewe mfikie hatua ya kujitathmini, kujituma na kujiongeza maana sijui mtalindwa hadi lini.

Kulinda ndiyo kazi ya serikali. Isipotulinda basi HAMNA haja ya kuwa na SERIKALI.
Tanzania siyo kama Kenya ambayo IMEWAUZA RAIA wake katika UTUMWA ndani ya nchi YAO
 
Ndio serikali inafanya kazi nzuri ya kuwalinda, maana sio kwa uzembe ambao huwa mko nawo, mngeachiwa kiushindani na Wakenya hakika mngelia sana.
 
Ahaaa haaa haaa
Mngekuwa na WASHINDABI kina LORD Dalamare na kina Kenyatta WANGEWANYONYA kama hivyo. Familia mbili tu ZINANYAKUA ARDHI YA KUTOSHANA NA FAMILIA 5KK. Halafu mnajiita washindani, labda kushindania vibarua. Oneni RSA wanachofanya SASA.
 
Waajiri wenu ndio wanasaka sana Wakenya na kuacha 55 million Tanzanians, maana mfanya biashara haja yake kubwa ni uchapa kazi sio pumba za uzalendo.
 
Ndiyo hivyo tena, huyo mama lishe tumesha mpiga chini. Aendelee kunywa chang'aa na wenzake.
 
Ndio mjiongeze na kutia bidii muache uzembe ikiwa kampuni kubwa kama Voda wanaweza kubali waongozwe na Mkenya mama lishe badala kuchagua mtu yeyote ndani ya Watanzania milioni 55, inaonyesha mlivyo dharaulika. A chang'aa drunkard Kenyan against a population of more than 55 million.....hehehehe hadi huruma.
 
Eti mmisri??? Kwani kizazi cha Chato hakina mtaalamu hata mmoja wa kufikia kiwango cha mwanamke wa kikenya Sylvia Mulinge?
 
Ndio mjiongeze na kutia bidii muache uzembe ikiwa kampuni kubwa kama Voda wanaweza kubali waongozwe na Mkenya mama lishe badala kuchagua mtu yeyote ndani ya Watanzania milioni 55, inaonyesha mlivyo dharaulika. A chang'aa drunkard Kenyan against a population of more than 55 million.....hehehehe hadi huruma.

Kazi tumesha maliza sasa, hayo mengine ni yenu.
 
Not her potential, but the telecom company has signed an agreement with her, something which is haunting them

How did the company sign an agreement with her to work in Tanzania before securing her work permit?
 
Normally the contract is an attachment in application for residence (not work) permit.
 
Normally the contract is an attachment in application for residence (not work) permit

You should have known better that having a residence permit does not necessarily mean a guarantee of securing a work permit!!!
 
Badilisheni kichwa cha mada basi, kiwe..... Sylvia Mulinge should'nt be allowed to work in Tanzania, hire an Egyptian instead.

Hayo ni yenu bana, lakini itoshe tu kusema kazi tumesha maliza. Tuendelee na mambo mengine.
 
Back
Top Bottom