Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hapo kwenu nani CEO wa Safaricom? Unless u prove to me there has never been a Tanzanian CEO at Vodacom before u r irrelevant.Hehehehe hadi huruma, ina maana nchi yote hiyo watu zaidi ya milioni 55 hakuna mwenye sifa za kuweza kuongoza kampuni kama hiyo, mjitafakari sana kama taifa, mnafaa kuwa na mdahalo wa kitaifa ili kubaini wapi huwa pameharibika, maana makampuni yenu yenyewe ndio yanasisitiza kuwafuata wageni hususan Wakenya.
Serikali yenu japo inajaribu kila mbinu za kuwalinda dhidi ya ushindani wa Wakenya, lakini wenyewe mfikie hatua ya kujitathmini, kujituma na kujiongeza maana sijui mtalindwa hadi lini.