mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
unamshauri nani huo ujinga?Uchaguzi ujao nashauri Fomu ya Kuomba Ubunge itolewe kwa sh 10m.. itasababisha watu wawe serious kidogo
Hii ni CCM Mpyaaaa mpk Zombe amechukua form huko Ccm.Hivi ndio kusema wasanii wote wapo ccm? CHADEMA hakuna msanii yoyote? Au ndio kuogopa kushabikia upizani ili wasibughuziwe?
Hili bunge la mwaka huu kiboko aisee [emoji23]
Kingwendu yupo CUFHii safu yao ikipita ni shida bungeni, Piere Liquid,stive nyerere,mpoki,Dr shika,kigwendu,Ringo ,
Assume hao wote wameunda kamati Ya Ukaguzi wa hesabu za serikali (PAC) huku Mwenyekiti wa kamati hio ni Babu tale.Hii safu yao ikipita ni shida bungeni, Piere Liquid,stive nyerere,mpoki,Dr shika,kigwendu,Ringo ,
Kingwendu yupo CUF
Assume hao wote wameunda kamati Ya Ukaguzi wa hesabu za serikali (PAC) huku Mwenyekiti wa kamati hio ni Babu tale.
Acha mbwembwe kingwendu amshinde Seleman Jaffo?Kigwendu ndo wale wale hata kama yuko CUF ,2015 alikuwa anashinda akafanya hujuma akachukua mshiko akanunua gari
Ilikuaje Kibajaji akamshinda Malecela kwny kura za maoni kule CCM?Acha mbwembwe kingwendu amshinde Seleman Jaffo?
Kura za maoni ni ishu tofauti kabsaaIlikuaje Kibajaji akamshinda Malecela kwny kura za maoni kule CCM?